Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,976
- 4,911
Mbona hakuna mbwa koko hapo mkuuWalitushambulia, tukawajibu. Ikiwa watashambulia tena, ambavyo ningewashauri sana wasifanye, tutawapiga kipigo cha mbwa koko kuliko vile walivyowahi kupigwa hapo awali!View attachment 1312819
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku ana Mafuta??Mkwara kama huo alisha mpigaga kiduku iwapo angerusha makombora juu ya anga ya japan
kiduku kwa jeuri aliyo nayo akalipitisha hatukuona lolote.
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Anayebeka ni Iran sio Trump, ebu mwambie Ayatolah amuue mwanajeshi mmoja tu wa US hata awe kuruta alafu uone mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah!!Dah mm nawa hurumia raia wa mataifa yenye vituo vya kijeshi vya marekani maana Iran itayaharibu vibaya sana.
Mimi ngoja nisubiri vita itokee tuanze kupokea wakimbizi kutoka saudia, Dubai, Qtar, Kuwait ili nijichagulie toto la kiarabu nivutie ndani.
Wapi hiyo
Hivi kati ya Trump na wewe nani kabweka!Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Mtu kama wewe ni wakusikitikiwa na kuonewa huruma tu,unakurupuka kuchangia bila hata kujua unachangia kitu gani! Nani kakuambia kua Iran ni waarabu?
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
We acha tu mii nawasubiria kwa hamu ningekuwa najua kiarabu fasaha ningeongeza unoko ili warabu walianzishe hata kesho watu tubadili mademu mjaa.hahah!!
Kama ni jibwa mbona tayari kashamfumua huyo kiongozi wa QUDS?Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Tayari washaanza, kuna jamaa nilikuwa nae hapa anasema US anapenda kuonea mataifa mengine na anasema ni gaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah mm nawa hurumia raia wa mataifa yenye vituo vya kijeshi vya marekani maana Iran itayaharibu vibaya sana.