Hata mimi sijaona. Ngoja nikatafute video editor and viewer.Ngoja nkatafute phone za kutafsiri
Pichani sijaona
Wewe ni fake, na unaleta fake news!
Lugha imekupiga chenga hukuona waandishi wa habari wakiomba washake hand?Wewe ni fake, na unaleta fake news!
Wabongo huwa hata hatuangalii tunacholishwa. Yeyote ambaye angepitia FB page ya DJT kati ya waliomponda hapa ungeona hii picha.
Sijui mlitaka wawe wanaongea wameshikana mikono kama wanandoa?
View attachment 483077
Hivi bi. merkel hana sweta jingine?tangu 2012 namuona nalo hilo hilo.
Sasa bosi kwani ilikuwa lazima awafuate waandishi wa habari? That was not a big deal, Trumo ni mtu mzima ana jua ata shake hand muda gani, tena anavo wadis ma reporter walivo kuwa wana mwambia ndio atakuwa alitaka zaid asifanye.Kaka sikiliza wanahabari hapo pembeni kwenye hii video
No shake: Donald Trump snubs Angela Merkel during photo op – video
Sasa bosi kwani ilikuwa lazima awafuate waandishi wa habari? That was not a big deal, Trumo ni mtu mzima ana jua ata shake hand muda gani, tena anavo wadis ma reporter walivo kuwa wana mwambia ndio atakuwa alitaka zaid asifanye.
Though Trump na Merkel si watu wano elewana sana pia
Watu huwa wanajitengenezea wanabrand zao kaka, Mwigulu angalia Tai yake ni hiyo hiyo au pale Kenya Ruto ana kofia yake hiyo hiyoHivi bi. merkel hana sweta jingine?tangu 2012 namuona nalo hilo hilo.
YesSawa sio lazima afanye wanacho omba wana habari lakini sikiliza pia Merkel anavyo mwomba, aligomea wote.