Kifupi Obama aliegemea kwenye kusapoti ushoga na Trump yupo kinyume.Sijaelewa
Hujaelewa nini Kiongozi? Iko hivi; Obama alikuwa ameweka sheria sijui utaratibu kwamba huko mashuleni dume likijihisi jike au likiamua kujigeuza jike ruksa kwenda ku-puuu kwenye vyoo au kuoga kwenye mabafu ya akina dada and vice versa! Tatizo likaja kwamba States nyingi zilishindwa kutekeleza sheria hii kutokana na ugumu wake.Sijaelewa
Hujaelewa nini Kiongozi? Iko hivi; Obama alikuwa ameweka sheria sijui utaratibu kwamba huko mashuleni dume likijihisi jike au likiamua kujigeuza jike ruksa kwenda ku-puuu kwenye vyoo au kuoga kwenye mabafu ya akina dada and vice versa! Tatizo likaja kwamba States nyingi zilishindwa kutekeleza sheria hii kutokana na ugumu wake.
Kwa mfano, kwa interest zangu, temporarily, naweza kujifanya nimechagua jinsia ya kike ili nipate "fursa adhimu" ya kwenda kuoga na akina dada! Mashallah! Yaani neema za Mnyaazi Mungu unazifaidi live bila jasho. Upo hapo? Sasa Trump ameona huu ni zaidi ya upuuzi hivyo kuamua kuifutilia mbali.
Cc: Tupate maoni ya FaizaFoxy
Chaguo la mungu walikuwa socialists huko akina Fidel,Chavez nk sio hawa mabeberu ,imperialistsTrump ni Chaguo la Mungu
Thanks hapo nimekupata vemaHujaelewa nini Kiongozi? Iko hivi; Obama alikuwa ameweka sheria sijui utaratibu kwamba huko mashuleni dume likijihisi jike au likiamua kujigeuza jike ruksa kwenda ku-puuu kwenye vyoo au kuoga kwenye mabafu ya akina dada and vice versa! Tatizo likaja kwamba States nyingi zilishindwa kutekeleza sheria hii kutokana na ugumu wake.
Kwa mfano, kwa interest zangu, temporarily, naweza kujifanya nimechagua jinsia ya kike ili nipate "fursa adhimu" ya kwenda kuoga na akina dada! Mashallah! Yaani neema za Mnyaazi Mungu unazifaidi live bila jasho. Upo hapo? Sasa Trump ameona huu ni zaidi ya upuuzi hivyo kuamua kuifutilia mbali.
Cc: Tupate maoni ya FaizaFoxy
Kafanya vyema sana. Obama nae ubishoo ulimzidi, si kila mwanamme atajifanya shoga ili aingie vyoo vya wanawake.
Hata mashetani huzidiana ushetani wao.
Leo umeandika point siku zote huwa unaandika maruhani tuu
LOL faizafox upo? mi nlifikiri umeenda somalia kujilipua.....LOLHunisomi tu au unanisoma kwa uoga.