Trump aelezea kipondo wanachopata magaidi wa ki -houth huko yemen!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa kasi. Mashambulizi yetu yataendelea hadi yasiwepo matishio tena kwa Uhuru wa Urambazaji. Chaguo la Houthis liko wazi: Waache kushambulia meli za U.S., nasi tutaacha kuwashambulia. Vinginevyo ndiyo kwanza tumeanza, na maumivu ya kweli bado yanakuja kwa magaidi Wahouthi na wafadhili wao nchini Iran.
 
Attachments

  • IMG_0504.jpeg
    IMG_0504.jpeg
    74.3 KB · Views: 16

We mlokole na vi habari vyako kutoka kwa njozi za mchungaji wako wameuwa viongozi wangapi Vip kuusu Barua ajaandika nyengine ya onyo kali kali zaid !!!!
 
Smoking gun
Smoke screen... maana pana mengi yanaendelea dhidi ya USA, japan,korea kusini na nani sijui wameamua kuungana na china kupambana na vikwazo vya marekani,huku anataka ongeza mihula mitatu,kule kapoteza washirika ulaya,anahaha kutengeneza positive news
 
YEMEN ilishapigwa kwa nguvu zote miaka 6 lkn mpigaji uyouyo ndio karusha taulo ulingoni !!!!

uyo Tramo hiii Vita ndio itamsomba na kumtupa nnje ya Urais ktk Uchaguzi Ujao!!!

Sasa anakenua minyusi yake ya Uzee lkn uko mwisho niyeye atalala kuusu IRAN. Jamaaa wana Akili sana wanatumia kila njia kukupa Adabu
 
We mlokole na vi habari vyako kutoka kwa njozi za mchungaji wako wameuwa viongozi wangapi Vip kuusu Barua ajaandika nyengine ya onyo kali kali zaid !!!!
Acha Wahouthi wapate kibano cha kufa mtu!!!
 
Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa kasi. Mashambulizi yetu yataendelea hadi yasiwepo matishio tena kwa Uhuru wa Urambazaji. Chaguo la Houthis liko wazi: Waache kushambulia meli za U.S., nasi tutaacha kuwashambulia. Vinginevyo ndiyo kwanza tumeanza, na maumivu ya kweli bado yanakuja kwa magaidi Wahouthi na wafadhili wao nchini Iran.
Source please😎😎😎

Or same as usual.........
April 1, 2025
 
Back
Top Bottom