Trump achapia kwenye Twitter kama ''Jiwe''

Trump achapia kwenye Twitter kama ''Jiwe''

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,198
Watu walishitushwa baada ya kusoma Twitter Account ya Raisi wa Marekani Bwana Donald Trump alipokuwa akitoa Maneno ya kumpokea Mkewe ambaye alikuwa hospitalini kwenye matibabu.. Akaandika ''Melanie anajisikia vizuri sana na kiafya ni mzima kabisa Asanteni wote kwa Maombi yenu ya kumtakia uzima na afya'' Jina sahihi ni ''Melania'' Baada ya watu kumzodoa sana yaani kama ilivyowahi tokea hapa nchini kwa Bwana ''Jiwe'' Bwana Trump aliedit faster Kichapio chake ila ilishakuwa too late watu walishaicopy na kuisambaza Dunia nzima.

220930f2-6d32-4df7-8231-7b8fe20f64fd.jpg

US First Lady Melania Trump (File photo)

Trump misspelled wife's name in a tweet welcoming her home
President Donald Trump’s wife, Melania Trump, returned to the White House on Saturday after undergoing a surgical procedure this week to treat a benign kidney condition, her office said.

The first lady, 48, had been recovering at Walter Reed medical center since Monday, when she underwent an embolization procedure to treat the kidney condition.

Spokeswoman Stephanie Grisham said in a statement that Melania Trump returned to the White House on Saturday morning.

“She is resting comfortably and remains in high spirits,” Grisham said. “Our office has received thousands of calls and emails wishing Mrs. Trump well, and we thank everyone who has taken the time to reach out.”

An embolization is a minimally invasive procedure often used to block the flow of blood to a tumor or an abnormal area of tissue.

Donald Trump tweeted on Saturday that it was “great to have our incredible First Lady back home in the White House.”

In an initial tweet he misspelled her first name, writing that “Melanie is feeling and doing really well,” before writing a subsequent tweet with her name’s correct spelling.

“Melanie is feeling and doing really well. Thank you for all of your prayers and best wishes!” President Trump tweets after First Lady Melania Trump returns home from the hospital today. pic.twitter.com/dU5LmMye0j

— NBC News (@NBCNews) May 19, 2018

Onyo msipende kuwacheka Viongozi leo kwao kesho kwako.

Am sure FaizaFoxy akijakusoma atasema Trump shule yake alienda kusomea Ujinga!
 
Nikajua kachapia Grammar na vocabulary kama JIWE!!!!
 
Visokorokwinyo tu ndiyo humletea mazonge Trump. Hafananishiki. Zingatia hilo mleta uzi
 
Usimfananishe Trump na shithole.
 
"Kuchapia" spelling za jina la mtu, particularly mkeo, tena sio mke wa muuza ubuyu bali first lady, sio issue ndogo. No wonder wamemzodoa sana. Nadhani pia hao wakosoaji wake wanammaindi kwa jinsi alivyokosa umakini. Rais wa Dunia is expected to be careful na kutofanya makosa madogomadogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom