Trump aapa kummaliza Kim Jong Un

Trump aapa kummaliza Kim Jong Un

Huyo ni chizi mkuu, anatakiwa apimwe akili, kwanza hajafikia ata robo ya bush, aache dharau kwa waliomtangulia kazi yake kubweka raisi wetu alishasema.
Hana tofauti na huyu sizonje wetu teh teh
 
America failed to take down the Korean Regime when it had no massive army and nuclear weapons: This Korean with a massive army and nuclear bombs, i don't think soooo!
 
Kim kamwambia arushe hata Jiwe km mambo yaanze naona anadangadanga ukiona hivyo ujue washachunguza na kuona hali ngumu kule
 
nchi nyingi zenye milengo ya kikomunist zina siri sana kwenye mambo ya ulinzi, kim ana silaha kali ndio maana America anasta kuanzisha vague.
 
Taarifa zinasemaje uko las vegas?? poor FBI mnakazana kuchunguza ya wenzenu kumbe kwenu kunaangamia.
Mi nilikuwa nna imani nao sana hawa FBI waje wapeleleze la ndugu yetu mgonjwa Nairobi lkn kwa hili Polisi wetu wanafaa.
 
Back
Top Bottom