Trump aahidi kuwalinda Wakristo nchini Nigeria!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,212
Reaction score
14,802
Rais Donald Trump (Mungu ambariki sana) amesema atatumia US military might kulinda Christians wanaouliwa na muslim jihadists nchini Nigeria.

God Bless D.Trump ...

—————

Christianity is facing an existential threat in Nigeria. Thousands of Christians are being killed. Radical Islamists are responsible for this mass slaughter. I am hereby making Nigeria a “COUNTRY OF PARTICULAR CONCERN” — But that is the least of it. When Christians, or any such group, is slaughtered like is happening in Nigeria (3,100 versus 4,476 Worldwide), something must be done! I am asking Congressman Riley Moore, together with Chairman Tom Cole and the House Appropriations Committee, to immediately look into this matter, and report back to me. The United States cannot stand by while such atrocities are happening in Nigeria, and numerous other Countries. We stand ready, willing, and able to save our Great Christian population around the World!

DONALD J. TRUMP,
PRESIDENT OF THE UNITED STATES OF AMERICA
 
Vipi kuhusu silaha anazompa Israel na zinatumika kuua watoto na wanawake pamoja na kupiga kambi za wakimbizi na Hospitali kule Gaza na kwingineko?
 
Nimeangalia nyuzi zako,kumbe ni mtu mwenye chuki sana ya udini,

Huyo US ameua watu wangapi kwenye machafuko aliyo yaanzisha?

Mfano mmoja tu kule Iraq alimshutumu Saddam kua ana silaha za maangamizi,akavamia na kuua watu kibao,na hizo silaha mpaka leo hawajazipat na hazipo!
 
i dont know, huko ni mbali sana kwangu, naongelea nigeria in afrika, christians are being prosecuted ...
 
Nimeangalia nyuzi zako,kumbe ni mtu mwenye chuki sana ya udini,

Huyo US ameua watu wangapi kwenye machafuko aliyo yaanzisha?

Mfano mmoja tu kule Iraq alimshutumu Saddam kua ana silaha za maangamizi,akavamia na kuua watu kibao,na hizo silaha mpaka leo hawajazipat na hazipo!

Christians wanauliwa kila siku nigeria na hawana mtetezi, na sasa Mungu amesikia kilio chao, serikali ya nigeria isipolinda Christians, D.Trump na US military itaingilia kulinda Christians .. ...
 
Usichokijua ni kwamba,mataifa ya Europe na America yapo kimaslahi ya nchi zao wala sio udini,
wewe mlokole ndio unafikiri udini,

Ubinadamu au kumuona US analinda maisha ya watu haupimwi kwa kuangalia sehemu moja au nchi moja,US ndio ameua watu wengi zaidi kwa machafuko anayo yaanzisha kwenye nchi za watu kila kukicha,

Sasa hivi anataka kuivamia Venezuela kwenye wakristo kibao,akianza kuua huko utakuja kumsifia pia?
 
somalia ni >98% muslim, anayefund al shabaab na kuuwa muslims kila siku ni saudia na gulf states, kama kuna msomali yoyote unayemjua muulize nani anafund al shabaab na kwa nini atakwambia ni saudia na sababu ni kwamba hawaruhusiwi (somalia) kuchimba mafuta yao kwenye bahari yao somalia ..
 
somalia ni >98% muslim, anayefund al shabaab na kuuwa muslims kila siku ni saudia na gulf states, kama kuna msomali yoyote unazemjua muulize nani anafund al shabaab na kwa nini atakwambia ni saudia na sababu ni kwamba hawaruhusiwi kuchimba mafuta yao kwenye bahari yao somalia ..
Wewe jamaa hujui hata Dunia inavyokwenda zaidi ya kutawaliwa na ulokole,
Nikupe mfano mmoja tu,wale ISIS ni zao la US na Hilary Clinton alithibitisha hilo,vikundi vingi vya waasi ni zao la US ili tu kudestabilize kwenye nchi wazitakazo,

Weka ulokole wako pembeni kwanza ili upate kujifunza jinsi siasa za kidunia zinavyokwenda.
 
kwa nini unapenda sana kuleta mambo ya nje ya afrika? mimi naongelea afrika yetu na nimekupa mfano wa somalia mbana haulijibu hilo la al shabaab kufadhiliwa na saudia kuuwa na kutesa muslims in somalia na nje ya somalia? isitoshe kwa nini misri (ambapo ni majority muslims) waliwafungia mpaka wapalestina? ...
 
Ungekuwa wewe ungewafungulia? Ndiyo ujue kila nchi inaweka suala la Usalama na Ulinzi wa nchi yake kwanza mambo ya sijui sisi wote waislamu au wakristo halina nafasi hapo.
 
US uliyoiongelea ipo nje ya Africa?
hivi unajielewa kweli?

Wapalestina hawakutakiwa kutoka ndani ya ardhi yao,kama wapalestina wangeachwa watoke ndani ya Ardhi yao basi ingekua ni kuisupport Israel coz hilo ndio lilikua lengo la Israel kuioccupy Gaza,

Unaposimamia haki za binadamu hutakiwi kuegamia upande wowote kwa kuangalia issue za udini,ukabila,gender,genetics na mengineyo,wewe tatizo lako umetawaliwa na ulokole,nani alikuongopea kua Alshababu ni zao la Saudi Arabia? wewe hujui kitu kuhusu geopolitical,jipe muda wakufuatilia hizi issue za uache kuendeshwa na ulokole wako.
 
US ni nje ya Africa? hivi unajielewa kweli?

Wapalestina hawakutakiwa kutoka ndani ya ardhi yao,kama wapalestina wangeachwa watoke ndani ya Ardhi yao basi ingekua ni kuisupport Israel coz hilo ndio lilikua lengo la Israel kuioccupy Gaza,

Unaposimamia haki za binadamu hutakiwi kuegamia kwa kuangalia issue za udini,ukabila,gender,genetics na mengineyo,wewe tatizo lako umetawaliwa na ulokole,nani alikuongopea kua Alshababu ni zao la Saudi Arabia? wewe hujui kitu kuhusu geopolitical,jipe muda wakufuatilia hizi issue za uache kuendeshwa na ulokole wako.

kila binadamu ana haki ya ukimbizi kama nyumbani kwake kuna vita, kwa hiyo watu wanakimbia vita kuuliwa halafu unawafungia mpaka kwamba wafie humo humo, huo ndio uislamu? ...
 
Ungekuwa wewe ungewafungulia? Ndiyo ujue kila nchi inaweka suala la Usalama na Ulinzi wa nchi yake kwanza mambo ya sijui sisi wote waislamu au wakristo halina nafasi hapo.

ndiyo, ningefungua mpaka kama Christians wangekuwa wanakimbia uuwaji ...
 
kila binadamu ana haki ya ukimbizi kama nyumbani kwake kuna vita, kwa hiyo watu wanakimbia vita kuuliwa halafu unawafungia mpaka kwamba wafie humo humo, huo ndio uislamu? ...
Jihad hua haikimbiwi,unapigania haki yako halafu ukimbie?

Sasa kwa akili yako hiyo nikuulize,hao wanigeria unaowaongelea hapa wao mbona hawakukimbia?
 
Ungekuwa wewe ungewafungulia? Ndiyo ujue kila nchi inaweka suala la Usalama na Ulinzi wa nchi yake kwanza mambo ya sijui sisi wote waislamu au wakristo halina nafasi hapo.
Mfano anao hapo hapo TZ,
wakati wa hizo vurugu za maandamano,kitu cha kwanza ilifungwa Airport na Borders zote.
 
Jihad hua haikimbiwi,unapigania haki yako halafu ukimbie?

Sasa kwa akili yako hiyo nikuulize,hao wanigeria unaowaongelea hapa wao mbona hawakukimbia?

walioweza walishaondoka waliobakia hawana uwezo wa kukimbia thats why US na D.Trump wamemwambia tinubu ana jukumu la kulinda Christians dhidi ya muslims jihadist kama asipofanya hivyo aidha kwa kushindwa au kwa sababu yoyote nyingineyo US itachukuwa jukumu la kulinda Christians ...
 
Back
Top Bottom