True!

Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga

Ahsante sana Maalim utafiti

Huwa nayapenda/nayakubali sana maujumbe yako

Kweli kabisa lisemwalo lipo kama halipo laja
 
Last edited by a moderator:
Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga

Ahsante sana Maalim utafiti

Huwa nayapenda/nayakubali sana maujumbe yako

Kweli kabisa lisemwalo lipo kama halipo laja

Asante HARUFU ni vyema kukumbushana yale yenye faida..
 
Last edited by a moderator:
Asante HARUFU ni vyema kukumbushana yale yenye faida..
Nimekupata vizuri sana ingawa kuna baadhi ya mambo tunafanya kama kujifurahisha tu sio vinginevyo, sababu kwanini ukose furaha hapa duniani?
 
Nimekupata vizuri sana ingawa kuna baadhi ya mambo tunafanya kama kujifurahisha tu sio vinginevyo, sababu kwanini ukose furaha hapa duniani?

Stress zipo mkuu muhimu nikuishi kwa kumtegemea Mungu na kuacha mambo yatokee kama yalivyo...ukilazimisha ndio stress zinaanza na furaha inapotea
 
Stress zipo mkuu muhimu nikuishi kwa kumtegemea Mungu na kuacha mambo yatokee kama yalivyo...ukilazimisha ndio stress zinaanza na furaha inapotea
Ni kweli kabisa kumtegemea Mungu ni muhimu zaidi, ila sio vizuri ukubali uzikuchukue sababu itafikia hatua utaanza kupoteza mwelekeo ni bora kama kuna uwezekano kujitahidi kuziondoa akilini mwako

Sababu hakuna binaadamu anaekosa stress, hata uwe unamiliki nchi nzima msongo wa mawazo lazima uwepo tu

Au nimekosea mkuu utafiti?
 
Last edited by a moderator:

Swadakta mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…