Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Poa mkuu! Hivi vinakaeje masikioni mkuu!Hapana man,zipo tofauti. Izi za jamaa anazouza ni i12 ambazo ni standard near to apple ila izi i7 zipo chini sana. Nimetoka youtube kuchek revews
Kwasisi wakulima vinatufaa kweli hivi?

