True wireless stereo i12 (wireless earphones)

True wireless stereo i12 (wireless earphones)

Batamaj

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
71
Reaction score
5
Ni earphone zisizo tumia waya. Zinaendana na simu na tablet za sumsung na iPhone, iPad. Epuka usumbufu wa kujivika waya ndefu pasipo lazima. Zinafaa sana kwa watu wa kawaida, pia madereva wa magari na pikipiki ambapo waweza kuongea na mtu kwenye simu au kusikiliza audio pasi na kushikilia simu.

Ina touch sensor ambapo waweza kupokea, kukata simu, kuwasha earphone kwa ku-touch tu sehemu ktk earphone.

Bei: Sh. 99,000.
Location: Dar es Salaam

Maelezo zaidi kuhusu earphone hizi na namna ya kutumia angalia kwenye instruction manual (pichani)

Bei
CA5B3412-6C0A-4297-80C7-F278B6124290.jpeg
BD2A653E-D8D7-47FF-AB9D-5527477DA953.jpeg
80324E13-CB80-4CB7-9F17-7D791CB9197D.jpeg
E54C6322-4DD2-4D7C-A265-E30970EFD87F.jpeg
EEB538A4-7A3B-44F7-B695-9D803C772ECE.jpeg
6A205823-A34E-4FC5-980C-2967811C04D6.jpeg
C5A87D07-2191-4109-8E24-7D7D37935FBF.jpeg
84E876FA-A7BE-4E05-A6D9-2E682B22CF0C.jpeg
427273AC-1880-4D05-A5A2-80F48AF8010C.jpeg
03E8D223-2F70-414A-B89A-1C4BBA054D99.jpeg

Attachments

  • 93013BA3-79A4-43EF-A356-B4421CEA8306.jpeg
    93013BA3-79A4-43EF-A356-B4421CEA8306.jpeg
    173.6 KB · Views: 25
  • A7D77189-B32B-43B3-AAF5-2F1D13C677F0.jpeg
    A7D77189-B32B-43B3-AAF5-2F1D13C677F0.jpeg
    183.4 KB · Views: 24
  • 94F7718F-057E-47AD-9B26-AAA7F6F6AC10.jpeg
    94F7718F-057E-47AD-9B26-AAA7F6F6AC10.jpeg
    159.2 KB · Views: 29
  • 319AA618-8E4F-4E2D-91C1-8C2BEE08B2C5.jpeg
    319AA618-8E4F-4E2D-91C1-8C2BEE08B2C5.jpeg
    114 KB · Views: 26
  • 7B5CAFFD-D79C-4A61-8B6C-30F3D652AC6D.jpeg
    7B5CAFFD-D79C-4A61-8B6C-30F3D652AC6D.jpeg
    224 KB · Views: 30
  • 6D584BAA-BA51-4112-9308-F7244017BD38.jpeg
    6D584BAA-BA51-4112-9308-F7244017BD38.jpeg
    183.9 KB · Views: 29
  • C5AA24CC-F2C5-4D76-BACB-C189A1CBDAC1.jpeg
    C5AA24CC-F2C5-4D76-BACB-C189A1CBDAC1.jpeg
    131.7 KB · Views: 28
  • 18DE99FC-7C9C-4424-BF85-F76FBBEDB140.jpeg
    18DE99FC-7C9C-4424-BF85-F76FBBEDB140.jpeg
    129 KB · Views: 28
Ukiwa unatembea haviwezi kudondoka kweli hivi?
 
Sasa jamaa ndo aje aseme kwann anauza laki 1.

Pia najua kabisa vidude hivi original yake ni Apple ambapo vinauzwa kama laki 4 na nusu.

Sasa kama kuna ambavyo ni substandard tujue kuanzia Copy 1 hadi copy 4 na kuendelea na bei zake.
Makumbusho kuna jamaa anauza kama hivi kwa 20,000/=
 
kwa usawa unaturushia picha nyingi hivi na unajua maisha magumu
 
Sasa jamaa ndo aje aseme kwann anauza laki 1.

Pia najua kabisa vidude hivi original yake ni Apple ambapo vinauzwa kama laki 4 na nusu.

Sasa kama kuna ambavyo ni substandard tujue kuanzia Copy 1 hadi copy 4 na kuendelea na bei zake.
Mkuu vya 20,000 vitakuwa poa kadiri ya hali ila usifananishe hizi i12 na vidude vingine kama i7, i8, i9, i10 au i11. Ukitaka kujua utofauti wake cheki google kuna reviews nyingi juu ya models hizo.
 
Mkuu ungetupa darasa hapa ili tujue unauza product ya namna gani. Nadhani umeuona mkanganyiko wetu. Sasa funguka uelezee ww unauza bidhaa ya namna gani ili tuelewe
Mkuu vya 20,000 vitakuwa poa kadiri ya hali ila usifananishe hizi i12 na vidude vingine kama i7, i8, i9, i10 au i11. Ukitaka kujua utofauti wake cheki google kuna reviews nyingi juu ya models hizo.
 
Dereva bodaboda na I phone wapi na wapi ?

Tafuta ambazo ni universal ndio utuuzie sie madereva boda wenye Tecno whatever
Hizi hapa kwa ajili ya tecno, huawei, infinix, sonny n.k
 
Mkuu ungetupa darasa hapa ili tujue unauza product ya namna gani. Nadhani umeuona mkanganyiko wetu. Sasa funguka uelezee ww unauza bidhaa ya namna gani ili tuelewe
Mkuu product ni i12 TWS nimeweka video clip na pia mannual yake yaeleza pia. Na ifuatayo ni video clip ikionesha tofauti ya i12 TWS na i7 TWS
 
Back
Top Bottom