Ila huyu jamaa naye alikuwa bushoke... Yani mkewe ana mimba hadi anajifungua hujui?
story inaweza kuwa ya kweli ila huyo mume orijino nae ni Bushoke iweje mkeo akae sehemu kuanzia mimba mpka anajifungua wewe hujaonana nae kuna umbali gani hapo Arusha tu.... na kingine ina maana hamna hata mtu mmoja unayemjua hapo Arusha ukamtuma amtafute ili akupe taarifa mmm kizunguzungu tupu ngoja niishie hapo
kifo kimemuumbua hata hivyo jamaa naye alimlegezea sana hapo likuwa huyo mama yuko tayari kwa loloteChini ya jua kila kitu kinawezekana ila huyu mwanamama alikuwa mafia wa ukweli:confused2:
matokeo yake imekula kwake. Halafu mwisho wa siku wanagombea kumzika marehemu ningekuwa mm ningempotezea tu ningeshiriki mazishi kama mtu bakiYawezekana huyo mume naye aliona ndo chance yakujirusha akaona bora aendelee na kazi huko AR asimsumbue na ndivyo ilikuwa!!