[TABLE="class: outer_border, width: 1000, align: center"]
[TR]
[TD]samahani lakini my friend kama nitakuwa nimekuudhi. jambo la msingi ambalo nilitaka tu kukueleza hapa, ni kwamba unajishushia reputatio power mbele za watu.. remember that, hata kama hatujuani kwa sura ama majina, yote tuyaandikayo hapa yana reflect mioyo yetu!
nikuombe radhi tena kama nitakuwa nimeingilia privacy policy zako..! ongea kadri ya uwezo wako, lakini kumbuka, NENO LIKISHATOKA MDOMONI.. UWEZEKANO WA KURUDISHWA HAUPO!.. na waliolisikia, watalikumbuka milele na milele! na hivyo ndivyo watakavyokuelezea mbele za watu wengine!
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]