True story

True story

chagga dady

Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
31
Reaction score
23
Habari wana JF.
Mimi mzima hofu kwenu. Ni miaka kama miwili imepita tokea tupotezane na msichana ambaye nilikuwa nikimpenda sana, kipindi nipo form 4 yeye alikuwa form 3 which means mwaka 2017 ndipo nilipomaliza.

Nikachukua time zangu nikaja Dar nikamuacha. Kipindi chote cha mwaka mmoja sikuwa na mawasiliano naye kutokana na kwamba hakuwa na simu.

Mwaka huu mwezi wa 8 nikarudi home Morogoro nikaenda mpaka kwao ila nikaambiwa ameenda kwa mom wake Ifikara kwani alikuwa anakaa na dada yake.

Nikajitahidi kupata mawasiliano yake nikafanikiwa. Nikamcheki tukachat vizuri story za hapa na pale ila alichonisikitisha ni kuniambia ana mtoto.

Yaani mpaka nguvu zimeniisha na nilimpenda sana.

Je kama wadau mnanishauri nini?
 
Hao ndo tunaowaita single mama sisi kaka zako, anyway ni juu yako kapige mzigo alafu uendelee kupotezana nae,
 
Sasa mwanamke akikuambia ana mtoto unachoshtuka nin???kizazi anacho kwanin asizae
 
Back
Top Bottom