Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,699
Wana MMU.
Jamaa mmoja hapa jirani yangu jina lake JOHN alitokea kumpenda sana bidada mmoja kwa jina la ANITA. Tatizo alikua anaogopa sana kumuambia ya moyoni.
Siku moja alijikakamua akaamua kumuandikia SMS "ANITA I LOVE YOU", alivyomaliza kuituma tu akazima na simu kwa uoga akijua amekinukisha.
Baada kama ya nusu saa akapiga moyo konde akaamua kuwasha simu, alipowasha tu ikaingia SMS, akajua tayari mtoto mzuri keshajibu. Ujasiri wa kuisoma ile SMS ukayeyuka pale pale, akaamua kulala kwanza ili aisome kesho yake.
Kesho yako alivyoamka akakosa ujasiri wa kuisoma akaamua kuacha na simu kabisa home ili akitoka job ndio aisome.
Jioni alivyorudi home akaamua tena ale msosi kabisa ili akishiba ndio aisome.
Baada ya kula akajikaza hasa, akachukua simu akafungua kusoma SMS, Akakuta ujumbe umeandikwa "salio lako halitoshi kutuma SMS tafadhali bonyeza *149*22# kupata mkopo wa tigo niwezeshe, tiGo Express YourSelf"
nime-ikopi mahala John usinipige mawe
cc Mchumba