TRUE STORY:Trend ya pombe nilizowahi kunywa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,710
2,000
Nakuletea stori yangu ya ulevi niliofanya kuanzia pombe ya kwanza Hadi Leo hii
1.nilianzaga na mtukuru huko mkoani singida huku nikionja onja bia pia na zile mbege.nimeanza kugonga rasmi 2009
2.nikajifunza banana nilivomaliza tu secondary 2010 hapo arusha
3.baadae chuoni 2013 nikaanzaga kunywa hivi viroba nikavinywa kwa muda mrefu sana ilikuwa Ni huku dar
4. Kisha Nikahamia kwenye konyagi mwaka 2014 huo ndo mwaka nimelewa sana.nilikuwa sikosi kamchongo mfukoni.(kaudongo cha Bibi)ugoro.nikala nikaja kuacha 2015.
5.mwaka juzi huo nikaendaga Hadi kwenye gongo hapo ndipo nilipopoteza Network.gongo nikawa najimix na vilinge vya mnazi,choya na wanzuki.
6.baadae kidogo hizi balimi zikaanzaga nikawa nagonga zenyewe sometimes na safari ndogo hio ilikuwa mwaka juzi nakumbuka
7.mwaka Jana nilikuwa babati kikazi nilibahatisha site fulani nikawa natembeza vi highlife gen,na kumbuka na fegi ilikuwa Ni safari,na wisnton.
8.kurudi dar nikakuta k vant zimenoga ilikuwa mwaka Jana hio nikavipiga we sometimes tulikuwa tunamix na MO energy.
9.Mwaka huu mwanzoni nikanogewa na DOUBLE KICK.mara vibonanza Mara vi gen
10.Mwezi huu wa February nimehamia kwa KITOKO.kitamu
hatari
Katika pombe zote ila Kuna list nazioogopa Ni valuer brand na ki NGUVU ki power.navijua havidanganyi vile ukigusa tu gia fasta zinabadilika from 2 to 4.
 
mob

JF-Expert Member
Dec 4, 2009
2,270
2,000
Wapotea kijana mdogo kwa kunywa changaa.Nguvu kazi yako ni muhimu kwa ustawi wa jamii

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wingatereza

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,267
2,000
Mi nilianzia tumboni. Mama aliniambia kila akinywa basi nilikuwa narukaruka na kuchezacheza tumboni ile mbaya. Ila mataputapu siwezi kunywa aisee.

Kindi, mnazi, choya, komoni, mbege, dengerua, lubisi na zote zinazofanana na hizo sinywi kabisa at least gongo naweza kuonja
 
Masumu yote hayo ila mbege ya ukweli Sana sidhani Kama ina madhara Kama taputapu nyingine
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,882
2,000
Dah mzee mi pombe nmeanza form 2 2002 ila nadhani umenizidi kiwango cha ulevi...hata nchoke vipi siwezi fikia levo ya mataputapu

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Licking Wounds

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,300
2,000
Nakuletea stori yangu ya ulevi niliofanya kuanzia pombe ya kwanza Hadi Leo hii
1.nilianzaga na mtukuru huko mkoani singida huku nikionja onja bia pia na zile mbege.nimeanza kugonga rasmi 2009
2.nikajifunza banana nilivomaliza tu secondary 2010 hapo arusha
3.baadae chuoni 2013 nikaanzaga kunywa hivi viroba nikavinywa kwa muda mrefu sana ilikuwa Ni huku dar
4. Kisha Nikahamia kwenye konyagi mwaka 2014 huo ndo mwaka nimelewa sana.nilikuwa sikosi kamchongo mfukoni.(kaudongo cha Bibi)ugoro.nikala nikaja kuacha 2015.
5.mwaka juzi huo nikaendaga Hadi kwenye gongo hapo ndipo nilipopoteza Network.gongo nikawa najimix na vilinge vya mnazi,choya na wanzuki.
6.baadae kidogo hizi balimi zikaanzaga nikawa nagonga zenyewe sometimes na safari ndogo hio ilikuwa mwaka juzi nakumbuka
7.mwaka Jana nilikuwa babati kikazi nilibahatisha site fulani nikawa natembeza vi highlife gen,na kumbuka na fegi ilikuwa Ni safari,na wisnton.
8.kurudi dar nikakuta k vant zimenoga ilikuwa mwaka Jana hio nikavipiga we sometimes tulikuwa tunamix na MO energy.
9.Mwaka huu mwanzoni nikanogewa na DOUBLE KICK.mara vibonanza Mara vi gen
10.Mwezi huu wa February nimehamia kwa KITOKO.kitamu
hatari
Katika pombe zote ila Kuna list nazioogopa Ni valuer brand na ki NGUVU ki power.navijua havidanganyi vile ukigusa tu gia fasta zinabadilika from 2 to 4.
Ndo mana una akili za kisisiem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
1,393
2,000
Mi nilianzia tumboni. Mama aliniambia kila akinywa basi nilikuwa narukaruka na kuchezacheza tumboni ile mbaya. Ila mataputapu siwezi kunywa aisee.

Kindi, mnazi, choya, komoni, mbege, dengerua, lubisi na zote zinazofanana na hizo sinywi kabisa at least gongo naweza kuonja
Nafikiri huwezi kwa sababu hali inaruhusu usinywe mataputapu ...

Kwa maana kuwa bado unasupusupu na uwezo flani wa kimaisha au kimazingira au hali flani ya kauwezo ka kutokunywa mataputapu ...

Kumbuka hao wanao kunywa hayo mataputapu sio kama wanapenda na wao wanatamani pombe za kishua ila hali za uwezo wa kimaisha au kimazingira haziwaruhusu kunywa beer, whysky na pombe zingine za kishkwenta ...

Omba Mungu wako akunusuru na hali hiyo ... Kikubwa zaidi ni kuacha ulevi na unywaji wa pombe kwa sababu siku hali ya kimaisha ikishuka katika kiwango japo cha -1 au ukawa kwenye mazingira ya maisha ya -1 basi utayanywa utake usitake ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
7,933
2,000
Ha ha hii graph yako haieleweki wenzako wanaanzia chini wanapanda juu we unaanzia juu unashuka chini unarudi katikati unashuuuuka chini mara umepand kidogo hatari sana, pombe za kienyeji nilizowahi kunywa ni mbege na kangara tuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom