TRUE STORY:Trend ya pombe nilizowahi kunywa

Nafikiri huwezi kwa sababu hali inaruhusu usinywe mataputapu ...

Kwa maana kuwa bado unasupusupu na uwezo flani wa kimaisha au kimazingira au hali flani ya kauwezo ka kutokunywa mataputapu ...

Kumbuka hao wanao kunywa hayo mataputapu sio kama wanapenda na wao wanatamani pombe za kishua ila hali za uwezo wa kimaisha au kimazingira haziwaruhusu kunywa beer, whysky na pombe zingine za kishkwenta ...

Omba Mungu wako akunusuru na hali hiyo ... Kikubwa zaidi ni kuacha ulevi na unywaji wa pombe kwa sababu siku hali ya kimaisha ikishuka katika kiwango japo cha -1 au ukawa kwenye mazingira ya maisha ya -1 basi utayanywa utake usitake ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshapitia ups and downs nyingi. Mataputapu siwezi kunywa ila nikiwa down huwa naacha kabisa.

Ila nikipita nikaona watu wanasababisha najipa moyo kwamba one day yes
 
Back
Top Bottom