bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #61 totoadela said: Chapachapa mbaya mwisho wa siku apate la kumpata Click to expand... Chapa chapa inategemea Ina uzuri wake na ubaya wake... Nina experience na chapa chapa
totoadela said: Chapachapa mbaya mwisho wa siku apate la kumpata Click to expand... Chapa chapa inategemea Ina uzuri wake na ubaya wake... Nina experience na chapa chapa
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,923 Mar 17, 2024 #62 bigmen said: Kwamba ni laana zao ama Click to expand... Siyo wote wazuri,huwezi kaa na mahusiano yakakupa raha daima
bigmen said: Kwamba ni laana zao ama Click to expand... Siyo wote wazuri,huwezi kaa na mahusiano yakakupa raha daima
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,923 Mar 17, 2024 #63 Half american said: Ahsante kwa kunikubalia ombi langu, muelekeze mleta bandiko anapofeli na alituma maombi ya kuomba kupendwa Click to expand... Yeye angeanza moja kwa moja, G nakupenda....siyo naomba unipende
Half american said: Ahsante kwa kunikubalia ombi langu, muelekeze mleta bandiko anapofeli na alituma maombi ya kuomba kupendwa Click to expand... Yeye angeanza moja kwa moja, G nakupenda....siyo naomba unipende
Shetta JF-Expert Member Joined Mar 15, 2023 Posts 445 Reaction score 798 Mar 17, 2024 #64 Kunywa sumu
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #65 Half american said: Ahsante kwa kunikubalia ombi langu, muelekeze mleta bandiko anapofeli na alituma maombi ya kuomba kupendwa Click to expand... Hiyo ni wsaga yangu, ukiona adi naandika hivyo ujuwe nimpepambanasana
Half american said: Ahsante kwa kunikubalia ombi langu, muelekeze mleta bandiko anapofeli na alituma maombi ya kuomba kupendwa Click to expand... Hiyo ni wsaga yangu, ukiona adi naandika hivyo ujuwe nimpepambanasana
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Mar 17, 2024 #66 Nimetoa post ya wanaume wanaoforce maisha
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #67 Mad Max said: Sasa ndio Aombe Kupendwa.? Click to expand... Ni swaga yangu na Kila mtu anaswaga zake
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #68 Unique Flower said: Nimetoa post ya wanaume wanaoforce maisha Click to expand... Kuforce kupo tunatakiwa kupambania nafasi
Unique Flower said: Nimetoa post ya wanaume wanaoforce maisha Click to expand... Kuforce kupo tunatakiwa kupambania nafasi
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Mar 17, 2024 #69 Naomba nipende. Sent using Jamii Forums mobile app
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #70 Shetta said: Kunywa sumu Click to expand... We unaeza kunywa sumu,
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,365 Mar 17, 2024 #71 Alafu kama unaforce hivi achana na vitoto vya chuo GπππMapenzi yalaaniwe mwaka 2018-9 yalitaka kunitoa ubongo bure Hii ni kwaresma + mfungo wa ramadhan Gπ
Alafu kama unaforce hivi achana na vitoto vya chuo GπππMapenzi yalaaniwe mwaka 2018-9 yalitaka kunitoa ubongo bure Hii ni kwaresma + mfungo wa ramadhan Gπ
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Mar 17, 2024 #72 bigmen said: Hiyo ni wsaga yangu, ukiona adi naandika hivyo ujuwe nimpepambanasana Click to expand... Achana nae mbona wapo wengi
bigmen said: Hiyo ni wsaga yangu, ukiona adi naandika hivyo ujuwe nimpepambanasana Click to expand... Achana nae mbona wapo wengi
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #73 To yeye said: Yeye angeanza moja kwa moja, G nakupenda....siyo naomba unipende Click to expand... Ninamtongoza anzia may 5 2023 adi leo 2024 mwez wa 3, nimeishiwa data kichwani adi unaona naandika hivo
To yeye said: Yeye angeanza moja kwa moja, G nakupenda....siyo naomba unipende Click to expand... Ninamtongoza anzia may 5 2023 adi leo 2024 mwez wa 3, nimeishiwa data kichwani adi unaona naandika hivo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Mar 17, 2024 #74 To yeye said: Yeye angeanza moja kwa moja, G nakupenda....siyo naomba unipende Click to expand... π G kakaza fuvu
To yeye said: Yeye angeanza moja kwa moja, G nakupenda....siyo naomba unipende Click to expand... π G kakaza fuvu
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #75 hopejunior said: Alafu kama unaforce hivi achana na vitoto vya chuo GπππMapenzi yalaaniwe mwaka 2018-9 yalitaka kunitoa ubongo bure Hii ni kwaresma + mfungo wa ramadhan Gπ Click to expand... ππππ Ilikuwaje embu nieleze kinagaubaga πππ
hopejunior said: Alafu kama unaforce hivi achana na vitoto vya chuo GπππMapenzi yalaaniwe mwaka 2018-9 yalitaka kunitoa ubongo bure Hii ni kwaresma + mfungo wa ramadhan Gπ Click to expand... ππππ Ilikuwaje embu nieleze kinagaubaga πππ
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Mar 17, 2024 #76 bigmen said: Ninamtongoza anzia may 5 2023 adi leo 2024 mwez wa 3, nimeishiwa data kichwani adi unaona naandika hivo Click to expand... π unaambatanisha miamala ?
bigmen said: Ninamtongoza anzia may 5 2023 adi leo 2024 mwez wa 3, nimeishiwa data kichwani adi unaona naandika hivo Click to expand... π unaambatanisha miamala ?
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,923 Mar 17, 2024 #77 Half american said: π G kakaza fuvu Click to expand... Dawa ya moto ni moto...ndiyo malipo ya kuumiza wengine
Half american said: π G kakaza fuvu Click to expand... Dawa ya moto ni moto...ndiyo malipo ya kuumiza wengine
bigmen Senior Member Joined Jul 3, 2020 Posts 147 Reaction score 325 Mar 17, 2024 Thread starter #78 Half american said: π unaambatanisha miamala ? Click to expand... Ingekuwa miamala yote naituma kwa cm ungeona screen shot,,, tatizo miamala mwingine natuma kwa wakala moja kwa moja kuepuka Makati makubwa, tangu mwez wa 5 adi leo amekula Kama 300K au 400K yangu
Half american said: π unaambatanisha miamala ? Click to expand... Ingekuwa miamala yote naituma kwa cm ungeona screen shot,,, tatizo miamala mwingine natuma kwa wakala moja kwa moja kuepuka Makati makubwa, tangu mwez wa 5 adi leo amekula Kama 300K au 400K yangu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Mar 17, 2024 #79 To yeye said: Dawa ya moto ni moto...ndiyo malipo ya kuumiza wengine Click to expand... Hakuna haja ya kuumiza wengine atafute wapo watakaomkubalia.
To yeye said: Dawa ya moto ni moto...ndiyo malipo ya kuumiza wengine Click to expand... Hakuna haja ya kuumiza wengine atafute wapo watakaomkubalia.
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,923 Mar 17, 2024 #80 Half american said: Hakuna haja ya kuumiza wengine atafute wapo watakaomkubalia. Click to expand... Level yake
Half american said: Hakuna haja ya kuumiza wengine atafute wapo watakaomkubalia. Click to expand... Level yake