Mwambie ndugu yako apunguze kujieleza pia madem wanapenda miamalaUnaandika meseji ndefu sana. Mademu hawapendi meseji ndefu.
Focus na mambo ya msingi halafu kama demu anakupotezea kwanini unalazimisha ? Kwanza una umri Gani?Nilikuwa Sina ujanja maana simu zangu hapokei kabisa, Sasa ningewezaje kueleza hisia zangu akanielewa bila kuandika sms ndefu
Kiume kabisa. Uyo demu atakusumbua. Najua ukweli mchungu, ila kwakua ushamwambia hisia, zako. Ebu mpe mida na yeye ajaribu kukupenda. Usimforce.Nilikuwa Sina ujanja maana simu zangu hapokei kabisa, Sasa ningewezaje kueleza hisia zangu akanielewa bila kuandika sms ndefu
Hiyo , hela nunua jeans kali Tshirt kali na jordan 4 au 1 upendezeMiamala nimefanya Sana, kiongozi
Kweli shemela??? Basi hakupendi kiukweli....piga chini, hizo hela tupe shemeji zako tule bia achana nae kiazi huyoMiamala nimefanya Sana, kiongozi
Sawa nitaanza kufanya hivyoKiume kabisa. Uyo demu atakusumbua. Najua ukweli mchungu, ila kwakua ushamwambia hisia, zako. Ebu mpe mida na yeye ajaribu kukupenda. Usimforce.
Sahivi fanya mambo yako. Usimtext hadi akutext. Anza na siku 2 bila kumcheki. Kisha unamcheki. Then unakuja week bila kumcheki. Then unampa hi. Kisha potea mwezi. Bora urudi tabia ya kuchapa chapa kuliko kushusha brand