True Story: Jestina

Kama mke anakunywa dawa anaweza asimwambukize mume.
 
Mimi mzima kabisa, hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu.
Mrembo unanifanya nitamani kufika ulipo,anyway milima haikutani binadamu tunakutana,iko siku tiiiiiiim mimi nipo ulipo Amen.
 
Hivi kweli kuna mwanaume wa kimatumbi angeweza kuendelea na engagement kwa Jestina?
 


labda kama mume anapaka bamia hiyo dyudyu kabla ya kufanyana
 
Huu ukimwi jamani kiukweli umedirectiwa mahali sensitive sana, asiye na risk ya kuupata ni mtu aliyehasiwa tu!
 
Pole yake huyo. Mdada kuishi na mwanaume mpenda starehe ni hatar kwa maisha mungu akutie nguvu
 
Ni kawaida, jamaa alikuwa anataka mke sasa unaona ni fair akaoa huyo mwenye mtoto (sijui kama walipata) na VVU?Hapa sio unyanyapaa ni hali halisi!
 
One in a millioni!Ndio maana hata Yesu hakufufua kila mtu, pengine ilikuwa one in a million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…