Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,280
- Thread starter
-
- #1,641
Achana na story leta jina la uo mti na picha yake bila kusahau maelekezo191
Nilishangaa muda kidogo manyanda alisimama tena kwa hasira, sikujivunga nikamwomba tena game tatu, yaani ni kama nilichelewa tu, tatu alikuwa tayari hivyo tulianza tena kuzagamuana.
Nilikuja kushtuka majogoo yanawika, nilimshtua tatu na kumwomba niondoke.
Nipe mara ya mwisho, alisema tatu.
Kiukweli manyanda alisimama na kusababisha misuli iume sana kutokana na mechi tulizokuwa tumecheza na tatu usiku ule, ila sikutaka kuwa mvivu, nilimwambia akae vizuri hivyo game ikapigwa upya.
Niliaga na kuondoka nikimuacha tatu mwenye furaha mno, nilikuwa nimemwachia buku 5 huku nikimtaka ampe kiasi kidogo rafiki yake mage kama nilivyokuwa nimemwahidi.
Ebu nambie kazi ilikuwaje leo? Aliniuliza babu tukiwa tunakunza uji chini ya mwembe.
Kazi ilikuwa nzuri babu, nadhani tatu ananielewa vizuri mno sasa, nilimjibu.
Namaanisha hujaona mabadiliko yoyote kwenye mwili wako wakati wa tendo? Aliuliza babu swali lilinipelekea niwaze sana.
Hapana sikuona badiliko lolote babu, nilijibu.
Acha utoto wewe, hukuona tofauti yoyote?
ππππKah ! Babu kavu kinoma sema nini babulai fanya kuutaja uwo mti mzee maana dharau zimezidi ....Sana now day [emoji1787][emoji1787]
AiseeAchana na story leta jina la uo mti na picha yake bila kusahau maelekezo
Ndiyo upeo wako ulipofikia. Uislam ni kwa kila mtu. Ni kwa kuwa hujielewi tu.Inawahusu waisilam pekee
Nakazia picha ya mtiAchana na story leta jina la uo mti na picha yake bila kusahau maelekezo
Ngoja nimsaidieKah ! Babu kavu kinoma sema nini babulai fanya kuutaja uwo mti mzee maana dharau zimezidi ....Sana now day [emoji1787][emoji1787]
Sema Nina onyo la ban ningekutukana ww punga mpaka ungejutaKabila la wegero kwetu Ni mpunga. Hili kabila linapatikana Sana sehemu za Mombasani na Kilifi.
Ona huyu MLA kitimoto naeNdiyo upeo wako ulipofikia. Uislam ni kwa kila mtu. Ni kwa kuwa hujielewi tu.
huu ni utani wa kumaanisha. Vidume wote hapo macho kodo kusubiriwa utajwe mti watu wakajenge heshimaππππππKah ! Babu kavu kinoma sema nini babulai fanya kuutaja uwo mti mzee maana dharau zimezidi ....Sana now day [emoji1787][emoji1787]
Karibu kwa Yesu akuokoe.Ndiyo upeo wako ulipofikia. Uislam ni kwa kila mtu. Ni kwa kuwa hujielewi tu.
Bibi kumbe unapitamo humu kimya kimya eeh.Ndiyo upeo wako ulipofikia. Uislam ni kwa kila mtu. Ni kwa kuwa hujielewi tu.
Unautani wewe.Pettymagambo hebu nipe jina na picha ya huo mti na sehemu unakopatikana.
Kuepuka usumbufu wa kina Chizi Maarifa njoo inbox.
Posho yako itakuwepo.