True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Clouds Fm; siku ya Jumapili huwa na mtiririko ufuatao wa Vipindi;

1. Kile cha Dini cha akina Harris Kapiga na Huruma Charles.. Nadhani kinaitwa Gospel Trax
2. Top 20
3. Sports Round Up
4. Njia Panda ya Dr. Isack Maro
5. Nimesahau jina, ila mara nyingi mtangazaji wake ni John Jackson
6. Geah Habibu na mambo yake ya Taarab
7. Sports Extra
Baada ya njapanda inafuata ON POINT na John Jackson
 
SubhanaAllah
Mbona kumtusi hivyo mwenzio ilhali humlipi na Wala hujui anapitia changamoto gani
Alfu wew jimama iko HV hiyo koment siyo kwamba nimemuamrisha aleta story yake Hapa hapn nilimuona anajibu koment za watu kwa jeuri na zarau juu kubwa ndio nikamuambia jje wee Ni upindeee
 
120
Alikuwa anaimba nyimbo za malenga wa kisukuma waliokuwa wanashindana zamani enzi za mababu.

Tulifika pale bombani na babu aliwasalimia wote waliokuwa pale, nilitupa jicho kuona kama nitamwona yunge mkubwa, lakini sikufanikiwa kumwona na badala yake nilimwona yunge mdogo ambae tulipokutanisha macho tu, aliangalia pembeni kama mtu ambae hajafurahishwa na uwepo wangu.

Tuliendelea na safari kwa muda wa dakika 10 tukayafikia majaruba mengi yaliyonyooka huku nyasi laini zikiwa zinakaribia kumezwa na maji, kwa mbele kidogo kulikua na majembe matatu ya kukokotwa na ng'ombe (plau) yakiigeza ardhi na kufanya zile nyasi laini zimezwe na ardhi ile.

Haya yote ni majaruba yangu, na hawa wanatulimia sisi, alisema babu na kuongeza, hapa kila mwaka napata junia 30 mpaka 40, na shamba silimagi lote, ila kwa mwaka huu kwakuwa umekuja mdogo wangu nitaongeza majaruba manne kwaajili yako, hapa utakuwa na uhakika wa kupata junia 15 mpaka 17.

Kiukweli nilifurahi mno, kwani nilianza kupiga hesabu ya gunia 15 x 50000 =750k.
Eti "junia"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom