Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Kama kichwa kinavyo jieleza hii ni true story
Ni kutoka kwa rafiki wa kaka yangu, ambaye mpaka sasa ni kama karukwa na akili, huongea mwenyewe hata kucheka ovyo mpaka nimepata huruma.
Story ni kwamba huyu rafiki wa kaka yangu mkubwa alikutana na binti mmoja akiwa field Singida alibahatika kukutana na binti mmoja, ambaye alitokea kumpenda sana, kutoka na life style yao pale kijijini alipokuwa anafanya field kwa moyo mmoja aliamua kumsaidia na kwa kipindi hicho jamaa ndio kamaliza chuo.
Wazungu wanaita love [emoji173] at a first site ndicho kilicho mtokea kaka yangu huyu ambaye ni rafiki wa kaka yangu wa kuzaliwa.
Alimleta mjini akamfanyia mpango akaanza kusoma kozi ya flight attendants chuo kimoja kipo posta pembeni ya sanamu la askari. Binti alisoma kwa udhamini wa jamaa. Binti alimaliza certificate kwa bahati nzuri akaendelea diploma bado jamaa alikuwa anadhamini huku wakipeana ahadi za kuwa kwenye ndoa kwani aliona ni binti wakuoa na mwenye maadili.
Kumbe sivyo alivyofikiria, binti baada ya kumaliza diploma jamaa akafanya mpango akapata ajira kwenye shirika moja la kigeni kama Airhottes, ndipo balaaa likaanza binti alianza kuwa na kuwa na kiburi huku akisahau alipotoka.
Wiki iliyopita binti kamwambia jamaa hampendi na asante kwa kumsomesha ila amepata anayempenda zaidi. Na kwa taarifa aliyopata jamaa ni binti kapewa ahadi ya kusomeshwa chuo kinachomilikiwa na ndege za Emirates so ndio kapata kiburi, na ni wiki sasa binti kakata mawasiliano na kamblock jamaa.
Ninavyoandika hapa jamaa kama kawehuka haamini kilicho mtokea, jamaa anaongea hovyo hovyo ila yote ni sababu ya binti aliyemtoa kijijini na kumsomesha akiamini atakuwa mke wake ila leo kamgeuka.
Wanawake kuweni na huruma jamani now broo kawa mlevi vibaya mno mpaka ofisini wamejua hilo. Utamuonea huruma ukimwona life style anayoishi, hii yote ni kisa mwanamke.
Jamani muwe na huruma nyie wanawake hasa mtu akikuthamini.