Well said and after that you can here a girl said, " I want a man with new model car, a luxury house and good job". She did not know how you struggle to get such things.
Halafu kikristo chenyewe kigumu kweli kweli, hapa nimepitisha masaa mawili kusoma comments na dictionary yangu pembeni.
Hiki kikristo phonetically kiko sawa ila semantically sasa ndio mtihani wenyewe. Anyways ngoja tusubiri mwendelezo.
Hata kiswahili kinatumika. Kikristo nimetumia zaman sana kimeanza kupotea.
Japo mi ni ke nipo hapa kwa niaba ya mume wangu. Anapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Naumia sana ila naamini hili nalo litapita.