True love

caltacy

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
7
Reaction score
1
mwanaume mwenye mapenz ya dhati anahtajika for long term relationship ila asiwe mwalimu au mwanafunzi this iz serious so kwa maelezo ani Pm tuzingumze wa mkoa wa mbeya iringa na moro watapewa kipaumbele karibuni
 
True love ndugu unaijua uwezi kumuona mtu siku moja ukasema atakuwa na true love Bali upendo wa kweli unaanza taratibu true love tena haujengwi kwenye uzuri wako wala kipato chochote hivyo kufikili unaweza kumpa mtu mwenye true love kwa namna Hii sijui ukituma picha yako watu wakakuona kama umependelewa utaona msululu kibao haa mimi nina true love nk mazingira ulipo wapo watakuona tu
 
Huwa nashangaa sana kwa hawa wanawake walivyo na kiu ya kuolewa lakini hawajitambui, unakuta mtu anasema wa mkoa flani atapewa kipau mbele, mara sitaki mwenye kitambi na mambo kibao. Lakini ukimuangalia mwanamke mwenyewe ana sura ngumu hadi ukitaka kwenda naye mahali inabidi umwambie atangulie.
 
Na vingezo vyote ila wew huna vingezo navyo vitaka mimi!
 
Na ile kwa 6*6 unatakiwa upige limao za kutosha u mix na pilipili upate mzuka wa kuingia chimbo
 
Mtaani kwako hujaonekana? kazin kwako je? vp kwenye nyumba ya ibada? vp kwenye maeneo unayopenda kutembelea? Huku hakuna mume au mke wa kuoa au kuolewa. huku ni sehemu yakupumzia tu .
 
mwanaume mwenye mapenz ya dhati anahtajika for long term relationship ila asiwe mwalimu au mwanafunzi this iz serious so kwa maelezo ani Pm tuzingumze wa mkoa wa mbeya iringa na moro watapewa kipaumbele karibuni

duh! naamua kuachana na kazi hii ya ualimu,maana naona kupitwa na mambo mazuri,kila anayejitokeza kutafuta mme hamtaki mwalimu.Heri nusu shari...maana naona naweza ishia kuwamimba wanafunzi tu.
 
Mhh!! we ngoja tuu mtakuja kukutana na mizuka ndiyo mtajuta kuzaliwa maswala ya kutafuta wapenzi kwenye mitandao utadhani hapo ulipo hakuna wanaume; lkn komaa utampata
 
duh! naamua kuachana na kazi hii ya ualimu,maana naona kupitwa na mambo mazuri,kila anayejitokeza kutafuta mme hamtaki mwalimu.Heri nusu shari...maana naona naweza ishia kuwamimba wanafunzi tu.

Hajielewi huyo mapenzi ya dhati hayaangalii cheo cha mtu la sivyo ataumia tu au atatumiwa km tp na kutupwa kwa dustbin. My take be careful lady Gaga when ur finding a man of your life put God first then everything gonna b fine.
 
Chagua sana mpaka uchoke maana walim unadhan c wanaume ee!! Haya katafute rubani au nahoza huko hapa unachefua watu tu maana tayar umeonesha ubaguzi wa kazi za watu il hali najua hata baadhi ya ndugu zako wanaomba wapate hata ualimu tu,shiiiiit!!
 
Hahaha mbavu zangu
 
Hajielewi huyo mapenzi ya dhati hayaangalii cheo cha mtu la sivyo ataumia tu au atatumiwa km tp na kutupwa kwa dustbin. My take be careful lady Gaga when ur finding a man of your life put God first then everything gonna b fine.

sasha, you sound so sweet! I wonder why bado huonekani kwenye 'radar' ya waoaji wa kweli. Au na wewe you are too picky?
 
Hahaaa... thanks still counting my endless blessings while waiting for the right man according to God's plan.
 
In red, well stated. Ideal spouse comes from God. So keep staying in hope-mode, and kindly count my sincere prayers in that regard. BTW... who is that in your avatar ?
 
Thanks for your prayers.. I appreciate.. Kuhusu avatar ni pic tu nmetoa smwhr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…