True love

Mbona walimu unatubagua?

labda walimu hatuji kupenda! duh, huyo kweli mbaguzi et asiwe mwalimu....wapiga debe changamkieni tenda zigo hilooo. Anataka mwanaume yeyeto anayeingiza kipato isipokuwa mwalimu tu!
 
Hapa naona kama ni kudanganyana tu. Hivi ni nani aliyewahi kupata partner/mke/mme kupitia njia hii kwa watu wenye majina bandia na uhusiano huu upo na unadumu mpaka leo?

Cheki huyu naye anataka "kuolewa" lakini kwa sharti la kutotaka walimu bila hata kueleza sababu at same times yeye hasemi ni nani (polisi, mjeshi, jini au mama lishe japo kajisema kuwa ni student with no justifications!)

Inawezekana huyu ni "dume" anataka kutuchora na tu hapa na kupoteza muda wa watu hapa. Nashauri uweke vyema request yako ionenye clarity ili kila asomaye akujue kuwa you are serious, pia usijiwekee mipaka ya aina ya mwanaume in terms of professional (i.e kubagua walimu) kwani siku zote mume/mke bora anatoka kwa MUNGU WETU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VILIVYOMO TUKIWEMO SISI BINAADAMU!!

Sorry, kama nitakukera kwa comment yangu!
 

kwel mwana criticaly uko vzur
 
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana.

Karibu PM
Bikra ama tobo...
 
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana.

Karibu PM
True love inahusiana vipi na awe na kazi?
 
Course yako ni H.R eeeh ndo unatafuta wafanyakazi!
 
"na sisi wenye sifa hizo, hatutaki wasichana kama wewe kuwaoa mwiiiiiiiiko"
 
Dah nimeingia mtaani kutoka chuo ila nahisi kabla sijapata ajira itanibidi nichukue miaka mitano ya elimu ya mtaani
 
Anyone here who wants to sign sponsorship contract,here is your fair chance.yoyote anayependa kula jasho la mwenzie hana tofauti na mwizi
 
Soma ww true love ipo kwny radio na tv tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…