Aliwaangusha tu Priyanka alivokataa kucheza kama hellen maana ukimuangalia hellen kwa kweli sio mzuri kiasi cha kuleta vita kama ile ila movie imechezwa sana
Maneno yaliyotumika mle ndani huwa yananipa hamasa sana hasa"that why no one will remember your name"peace is for women and the weak"men rise n fall like the winter wheat"hector the breaker horses"nk mpka sasa ndio best movie kwangu hasa kipengele cha setting characterization plotting na diction
What a poet!thus why always I want to fight with the best!If they ever tell my story, let them say I walked with giants. Men rise and fall like winter wheat, but these names will never die. Let them say I lived in the time of Hector tamer of horses. Let them say, I lived in the time of Achilles.
Ile ni zaidi ya movie mkuu.
Ni kweli maana ilinifanya nisome historia ya troy na wakina achile wote na hiyo vita ambayo kwenye historia imeandikwa kama moja ya vita kubwa na iliyoleta mapinduzi katika medani za kivita (mbinu za upiganaji)Ile ni zaidi ya movie mkuu.
Ile ni kama documentary.
Great characters
Great actors
Great movie.
Yaa ile Noma snNami naipenda sana.je ile ya 300 Hundred unaikumbuka
MWANAMKE anamponzaHiyo muvi Ni tamu.....archilles the undefeated hero....full of pride
Inaelezwa kuwa mbinu nyingi sana za kipolisi na kivita zinazotumika sasa ziliasisiwa toka enzi hizo.Ni kweli maana ilinifanya nisome historia ya troy na wakina achile wote na hiyo vita ambayo kwenye historia imeandikwa kama moja ya vita kubwa na iliyoleta mapinduzi katika medani za kivita (mbinu za upiganaji)
Sent using Jamii Forums mobile app