Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
Natania Pretty.πkwahiyo uko single[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
ila hongera
Natania Pretty.[emoji6]
Pretty banaπ. Hujaona kale kaemoj.unatania wakati umemaanisha[emoji23]
Yaah mkuuHongera kamanda naona tunashare mwezi mmoja wa kuzaliwa
Nasubiri huenda utanihurumia, π maana mbinu ya uwe mwalimu wangu iligonga mwamba.Miaka yote humu bado upo single?π
Yaani uzi mrefu lakini hapo mwisho kabisa kwenye maneno yasiyozidi 20 ndio mnapaona kweli.ππMkuu upo single kwahiyo we ni mwanachama wa sabuni..??
Mi natumia ya unga kabisa sitaki mchezo..π
Bwana na anionyeshe mlango sahihi..π
Wanasemaga komenti ya kwanza ndio huwa uelekeo wa yote..Yaani uzi mrefu lakini hapo mwisho kabisa kwenye maneno yasiyozidi 20 ndio mnapaona kweli.ππ
Pretty bana[emoji3]. Hujaona kale kaemoj.
Embu tulia shughuli isije haribika