Wewe kila jambo lazima ulione kwa matazamo wa kidini, nafikiri dini imeathiri sehemu ya ubongo wako.Tanzania inaekea nigeria kama wakiristo wataendelea kuona wanahisa 100%
"Kua uone" ni msemo ambao umekuwa ukitumiwa katika kusisitiza maelekezo ya wakubwa kwa wadogo kwa mambo mahususi ya kimalezi. Sikujua nini maana yake wakati wa ujana wangu, sasa ndo ninajua maana yake. Somalia, enzi za Siadi Barre, iliendekeza rushwa, magendo, fitina na hujuma dhidi ya taifa lao. Waliojitokeza kuonyesha mapungufu haya waliitwa wapinzani,wenye wivu, wasiopenda maendeleo na majina mengine mabaya yanayofanana na hayo. Waliokuwa wananufaika na mapungufu hayo walikuwa na nguvu za kijeshi na kiuchumi. Waliopingana na ujinga huo walikuwa wengi, wenye chuki na hasira nyingi iliyojengeka kwa muda mrefu.
Jeuri ya fedha na nguvu za kijeshi kwa upande mmoja zilipopingana na wanyonge waliokuwa wengi na waliojaa chuki na hasira mapambano yalikuwa makali na kwa hali ilivyo sasa Somalia hakuna mshindi! Wote walishindwa na wanaendelea kushindwa. Hakuna aliye salama.
Kwa muda mrefu tumesikia habari za ufisadi nchini, Nigeria, viongozi wanamiliki mabilioni ya dola za Kimarekani na wakati ule wa akina Dicko walizoa hazina ya Nigeria na kuzipeleka ughabuni. Nchi tajiri wa mafuta, lakini watu wake masikini kupindukia. Kwa kuwa watu wamechoka hali hiyo na hawana njia nyingine yakuepukana uongozi wa aina hiyo, wameanza kuuwana kwa kisingizio cha dini! Watauwana wee, hadi mshindi hatapatikana na taifa litakuwa limefarakana kama Somalia.
Kwa bahati mbaya dalili za mamabo zilivyo hapa Tanzania zinaonyesha mwekeo huo wa Nigeria. Mifano ni mingi lakini nitataja mfano mmoja tu; Waziri Mkuu anahusishwa kwenye kashfa kubwa ya mashine za kufua umeme wa dharura kuepuka kufukuzwa kazi, anaitwa waziri mkuu mstaafu; anapewa mafao ya kustaafu. Leo hii anapita huko na huku asafishwe ili awe rais baadaye. Tunaelekea wapi kama sio kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe? Viongozi wa dini wanakimbizana naye kuomba michango ya ujenzi wa kanisa, huku wakijua kuwa fedha zake ni chafu! Tuna elekea wapi?
Watanzania tusiwe wajinga, Lowasa hasafishiki na tumuogope kuliko kitu chochote. Hata na wapambe wake hawatufai kwa lolote.
Au nyinyi mnasemaje?
Tanzania inaekea nigeria kama wakiristo wataendelea kuona wanahisa 100%
Kama unaelewa historia ya Nigeria toka utawala wa Abu bakar Tafawa Balewa kupitia kwa Yakub Gowon hadi Sani Abacha ndiyo utafahamu matatizo ya Naigeria. Wameweza kuvuka fitna kubwa zaidi ya hizi za leo kwa uhakika watamaliza hizi baada ya muda mfupi.
Tanzania hatuwezi kuwa kama Nigeria sababu hata kabla ya uhuru tulimekuwa na religious tolarence. Choko choko kama hizi za sasa zilikuwepo hata wakati wa Mwalimu. Fitna siku zote zimekuwa zikipandikizwa na mataifa ya magharibi wakiwa na lengo la kutugomanisha ili wapate rasilimali zetu. Tukiwa makini na tukiendelea na uhuru wetu wa kuabudu, mambo yataendelea kuwa shwari na tutaweza kupambana na mafisadi.
Wewe kila jambo lazima ulione kwa matazamo wa kidini, nafikiri dini imeathiri sehemu ya ubongo wako.
Tanzania inaekea nigeria kama wakiristo wataendelea kuona wanahisa 100%
Why we bombed the City of Kano BOKO HARAM
by Jide Ladipo on January 23, 2012
Islamic fundamentalist sect, Boko Haram, has given reasons for its multiple attacks in Kano on Friday. Nearly 200 persons died in the attacks. The groups spokesperson, Abul Qaqa, told journalists in a telephone interview on Sunday, that the group struck the city in order to prove its worth to security agencies and Kano State Government.
The spokesman stated that the security and the Kano State Government refused to heed to its warning that it would attack the state if its members held in custody were not released.
Qaqa further said that the group would not t relent in fighting for the rights of their members, many of whom he said were innocently held. He added that Nigerian government would continue to pay for alleged continued oppression and killing of innocent Muslims in the country.
DEADLY ATTACKS: Boko Harram spokesperson, Abul Qaqa, told journalists in a telephone interview on Sunday, that the group struck the city in order to prove its worth to security agencies and Kano State Government.
He said, We are only scared of Allah but no one. We must regain our faith and freedom soon. No amount of propaganda against us will deter us. We are guided and strengthen by Allah as you can see.
Boko Haram, whose real name is Jamaatu Ahlisunnah Liddaawati Wal-Jihad, had in a letter to the Kano State Governor, Dr. Rabiu Kwankwaso, in August warned that it would attack the city if the State Security Service continued hunting its members.
The letter was also copied to the Emir of Kano, Alhaji Ado Bayero; Wamban Kano, Alhaji Abbas Sunusi; and Dan Masanin Kano, Alhaji Yusuf Sule.
The dreaded group warned in the letter that it would deploy its men in the state and made it worse than Maiduguri if its members held in custody were not released.
The group also stated in the letter that it sent a similar open letter to the late President Umar Yaradua, security chiefs and the people of Borno State. It stated that the its warning was taken as a joke.
It alleged that its members were unjustly killed in Bauchi, Wudil, Gombe, Yobe and Maiduguri for sticking to the teachings of Quaran and Hadith.
The letter read in part, It have (sic)come our notice that the present Police Commissioner, Director State Security Service and Ward Heads have jointly started arresting our members IN YOUR STATE (KANO) known to you or not, a situation which we will not take lightly by the grace of ALLAH.
SOURCE : PUNCH
Hata kama "Malaria Sugu" mkipewa 70% bado mtasema hii nchi ni ya kiislam tunaka asilimia 100 na mkipewa hiyo 100 bado mtasema hatutaki kuishi na makafiri,wahamie Uganda.I can't see the limit
Tanzania inaekea nigeria kama wakiristo wataendelea kuona wanahisa 100%