Tropical smooth juice

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Tropical smooth juice

Mahitaji
Nanasi 1
Ndizi mbivu 3
Machungwa 3

Jinsi ya kutengeneza
Hatua 1
Menya nanasi lako baadae kata vipande vipande na weka kwenye chombo chako.

Hatua 2
Kata ndizi yako vipande vidogo vidogo na weka kwenye chombo chako.

Hatua 3
Menya machungwa yako yote matatu na ukamue maji yake ili ujipatie Juisi ya machungwa na uweke kwenye chombo chako.

Hatua 4
Weka vifaa vyako vyote kwenye blenda kama nanasi lako, ndizi na juisi yako ya machungwa ambayo tayari umeshakamua.

Hatua 5
Ukipenda chuja ila uzuri wa juisi hii bora usichuje kwasababu inatakiwa kua mzito
Na ukipenda weka na sukari kiasi.

Hatua 6
Toa juisi yako kwenye blenda na weka kwenye friza au friji.

Au kama huna friza weka vipande vya barafu ndani yake ili ipate baridi vizuri.

Juisi yako ipo tayari kwa kunywa.

1574777705334.png
 
View attachment 1273387
🙏🏼
 
Back
Top Bottom