Tripple alliance vs Tripple entente

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,984
2,500
Nani anaukumbuka hii

Tripple alliance : Germany, Austria -Hangury, Italy
Vs
Tripple entente : Great Britain, Russia, France


Now days mzungu Russia kasaliti wenzake
Now it's
Russia, Iran, NK.,Pakistan, Syria,
Vs
US and NATO
 
Ila ndio tunakoelekea huko. Maana hizi chokocholo du!!!too much
Ikitokea hiyo vita consider dunia inaisha, kwa kuwa nuclear powers ni wengi na the more people are amassing nuclear powers the more they are far from fighting.

nje ya maada hii*
jina lako nimejikuta nalipenda bure
 
Back
Top Bottom