Triple 7 Club in Dar

Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
13,191
12,367
Triple 7 is a nice place to be in Dar es salaam.Very Nice Music.
But if you go there and you need a drink then make sure you go to the counter.
Ma-waitaer wa pale ni wezi ajabu.Usiwaamini hususani ma-waiter wa kiume,watakuibia pesa uabike wewe na mpenzi wako.
Merry xmas kwa wana JF wote.
 
Mbona hujaelezea wanaibaje,andika kitu kinachoeleweka.

Tulia kwanza hangover iishe kisha uandike kitu kinachoelweka.
 
Ana mzuka wa kuandka coz ndo katoka kibiwaaa.....kwa hal ilvoo saiv kila mtu anatafuta pa kunyonga na ukikaa vbaya kbisaa unachinjwa
 
Back
Top Bottom