Trillion, reasons za CaCiCo kuwa Miss Chit Chat 2012

Trillion, reasons za CaCiCo kuwa Miss Chit Chat 2012

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
she's charming,
Humble,
Mkweli,
Mwaminifu haswa kwa mumewe Asprin, shemeji yake Kaizer ambaye naye humega kimtino na Bujibuji Kidumu chake cha kudumu kwenye shida na raha, uzima na ugonjwa, kunasana na kukimbiziwa Tmk Hosp.
Cacico ana michango iliyo na mashiko.
Ni mshauri wa ajabu,
Ni mvumilivu,
Ana jumuika kila anapo alikwa,
Ni mzuri wa mwili sura, roho na akili.
Hana majibu ya hovyo hata ukisema vibaya.
Anajua mitindo mbalibali,
Ni mcha Mungu aliye na hofu ya Mungu.
Ana upendo wa dhati kwa wana chit chat na jukwaa zima la JF.
Wino kwa bahati mbaya umeniishia kabla sijamaliza kuorodhesha sababu zote.
Najua na wewe unazijua kibao ambazo sijazitaja.
TUMPIGIE KURA ZETU ZOTE cacico
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke anayemegwa na shemejio hafai kupewa kura. pigeni kura kwa Remmy tu.
 
Last edited by a moderator:
she's charming,
Humble,
Mkweli,
Mwaminifu haswa kwa mumewe Asprin, shemeji yake Kaizer ambaye naye humega kimtino na Bujibuji Kidumu chake cha kudumu kwenye shida na raha, uzima na ugonjwa, kunasana na kukimbiziwa Tmk Hosp.
Cacico ana michango iliyo na mashiko.
Ni mshauri wa ajabu,
Ni mvumilivu,
Ana jumuika kila anapo alikwa,
Ni mzuri wa mwili sura, roho na akili.
Hana majibu ya hovyo hata ukisema vibaya.
Anajua mitindo mbalibali,
Ni mcha Mungu aliye na hofu ya Mungu.
Ana upendo wa dhati kwa wana chit chat na jukwaa zima la JF.
Wino kwa bahati mbaya umeniishia kabla sijamaliza kuorodhesha sababu zote.
Najua na wewe unazijua kibao ambazo sijazitaja.
TUMPIGIE KURA ZETU ZOTE cacico

KURA ZOOOTE kwa cacico.

Wapi wake zangu Yummy, BADILI TABIA na asali Kongosho. Hebu kujeni pande hii fo ze needful
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu wa Arabela tu, na hivi Madame B anaondolewa, patamu kwelikweli

Wewe umesema na hivi huyu cacico juzijuzi tu walimpa Ban basi hiyo ni moja kwa moja inakuwa diskwalifikesheni ya yeye kuwa Miss wetu,mambo yote kwa Arabela,hapa tunabakia na kazi moja tu,nayo ni kumpiga zengwe Madame B mpaka atolewe kwenye mashindano,naona yeye peke yake ndio analeta vurugu kidogo
 
Last edited by a moderator:
Aminia kamanda wa makamanda Asprin, lazima cacico wetu tummwagie mikura yenye ujazo usio someka.
Viva Frelimo Viva Samora, Aluta Continua
FYI kati ya kura alizokamata cacico 5 zimetoka kwangu mzee wa maID kibawa.

Isitoshe mai waifu si mshindani wa hii makitu kiviiiiiile...

Mumuwache cacico anilelee mimba yangu....:becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Tangu nijiunge sijawahi kushiriki kikamilifu, lakini kwa issue ya cacico wacha tu nimpigie kura
 
Last edited by a moderator:
hivi maendeleo ya huu mchakato yakoje, maanake mi nishasema natoa zawadi ya mshindi wa tatu.
 
Back
Top Bottom