Hivi ni kweli hawa waliopeleka hii assessment ya kodi kwa ilo shirika walipata kiasi iki? Jamni mbona hii ni hatari sasaa? Kiasi icho sasa hio kampuni inaweza kutoa wapi? Au wale wamejiandikia tu basi flani aone?
Figure hio ni sawa na kumpelekea muuza mkaa makadirio ya kodi ya gunia zake za toka 2013 hadi 2017 ziligharimu msitu mzima wa mbuga ya serengeti.
Tutumie elimu na weledi wetu vizuri waungwana, tueleweshane tu, maana kuna mambo mengine unayaskia redion unajua labda mtangazaji kakosea kusema kiasi husika.
Endapo nchi yoyote ya kiafrica ikipata trilioni 424 papo kwa hapo basi itakua ni nchi ya nne kwa kua na uchumi mkubwa zaidi ndani ya bara hili na top 60 ya nchi tajiri itakuemo vizuri tu.
Kwaio trilion 424 si ni sawa tu na matajiri watano wa kwanza duniani wote wanyang'anywe mali zao ipewe nchi? Tobaa mbona tunaskia Bill Gates peke ake ana uwezo wa kuwapa buku buku watu wote duniani na chenchi ikabaki, jumlisha na wenzake tena?
Mambo nisiyopenda kuyaona africa ni eti kuchukua begi moja kubwa sanaa kwenda kununua tu nyanya sokoni, kua na noti hadi za milion 10.
Nliskia et Africa kuna shule za mabweni wanafunzi wake wanawekewaga mafuta ya taa kwenye vyakula vyao, au labda athari zake ndizo hizi sasa.
Tuache utani tuwe serius, haya ni mazingaombwe na yana aibisha watu wa ile nchi na kuonekana wao na shule ni mbali mbali.
NB. Hakuna nchi yoyote iliyotajwa jina hapa, tafadhali bhana tuheshimiane oooh.
Daaaah mkuu jambo ili mbona litakua kituko cha mwaka!
Hapa ndiyo utaona jinsi TRA wanavyokurupuka na assessments zao ambazo ni za juu mnooo kutubambikia Watanzania kodi kubwa kuliko maelezo na matokeo yake kuathiri biashara nchini kwa namna mbali mbali. Hii assessment ya ACACIA imewaacha uchi kabisa. Sijui watakuja na utetezi upi wa hii assessment kubwa kiasi hiki.
ukianza kula nyama ya binadam huta acha kamwe we kutuwekea 18% kila mahali sasa hata walami wanataka kujaribiwa
Sasa wakiitwa mahakama ya kimataifa wataenda na hesabu gan? 2000 to 2017 is equal to trilion 424 sir. Hahahahahahaha
Mkuu ata ayo madini yaliokusanywa na kuchukuliwa na hio kampuni toka 2000 mpaka 2017 sidhani kama yanaifikia hio trilion 424.
Yaani kwanza swali la kujiuliza hiyo trillion 434 zilifikaje?Sasa wakiitwa mahakama ya kimataifa wataenda na hesabu gan? 2000 to 2017 is equal to trilion 424 sir. Hahahahahahaha
Haya ni maigizoYaani kwanza swali la kujiuliza hiyo trillion 434 zilifikaje?
Na je kwa kawaida walipoanza biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji wenyewe wanao ni T10 hapo ni pamoja na vifaa vyao vyote.Mkuu ata ayo madini yaliokusanywa na kuchukuliwa na hio kampuni toka 2000 mpaka 2017 sidhani kama yanaifikia hio trilion 424.
Wanajua akili za bwana mkubwa zikojeTujiulize tuu toka wa meanza kuvuna hayo madini Adi Leo wamepata sh ngapi ili hiyo iwe ni Kodi?
Kuna shida sana ikiwa watu watahemuka kuandika mambo ili kiranjakuu afurah wakati kiuhalisia kabs Hali hauko hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio maigizo mkuu,ukitaka kukumbana hali km hii siku ombea uwe unarudi kutoka nje ya nchi,hlf ununue ka tv kako huko utokako,ukifika jkn airport jamaa wa tra watakapokupigia kodi unayotakiwa kuilipia utatamani uwaachie ako ka tv kenyeweHaya ni maigizo
Nawajua sn mkuu, TRA wanafanya kumfurahisha bwana mkubwa, wanajua weakness ya bwana mkubwa.Sio maigizo mkuu,ukitaka kukumbana hali km hii siku ombea uwe unarudi kutoka nje ya nchi,hlf ununue ka tv kako huko utokako,ukifika jkn airport jamaa wa tra watakapokupigia kodi unayotakiwa kuilipia utatamani uwaachie ako ka tv kenyewe