Trick: Download media zote Insta sasa

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
658
686
Habari wanajamvi? Natumai wazima..
Leo nataka nionyeshe njia rahis ya kupakua media tofauti kene Instagram kwa kutumia app ndogo sana Regrann..
Unaweza ipakua hapa Regrann
Baada ya kupakua nenda insta copy link ya video njoo nayo kene Regrann paste hapo na utafanya kama unasave...nenda kwenye gallery na utaona video yako...

Nakaribisha maswali kwa watakaokwama.
 
Back
Top Bottom