Trick 4: Tengeneza pesa kwa youtube (wavivu msisome)

Trick 4: Tengeneza pesa kwa youtube (wavivu msisome)

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
MKONO.jpg

Kwanza kabisa kabla sijaendelea na maada nawashauri wavivu mnaopenda kupumzika sana hii njia haiwafai , nunueni bando muendelee kupost status za success

Youtube wana mfumo wa ulipaji kwa video unaaoweka ambao unafahamika kama ADSENSE, hii adsense ni kwamba kwenye video zako unazoupload utaruhus video yako iweze kuwekewa matangazo yale ambayo tunayaonaga yenye kitufe cha "skip ads", Kwa hiyo endapo ukiwaruhusu youtube waweke matangazo yao kabla video yako haijaanza kuplay basi kuna kiasi fulani utalipwa, Kwa mfano kwa kila watu 1,000 wataotizama video yako na kuliona tangazo la youtube wewe utalipwa dola 2 ( 4,400 tshs), pungufu ama zaidi kulingana na watazamaji wako (sitapenda kuingia ndani sana).

ili uweze kujisajili na huduma ya adsense hakikisha account yako ya youtube ina views 10,000 ama kuendele na hapo ndipo inabidi uombe adsense kwa kufuata maelekezo hapa Sign up for AdSense via YouTube - AdSense Help

Hizo zilikuwa ni amsha amsha tu sasa ndo tunazamia mzigoni, Njia yetu itakuwa na malengo ya kutengeneza video 10 hadi 15 kwa siku so hii njia haihitaji lele mama na haiwafai wavivu, Tutachofanya tutakuwa tunatengeneza video zenye slide show za picha ambazo zinaweza kuwa katika mfano wa "top ten rich footballers", "football players when they were young" "pictyres of 0 - 32 years", n.k kama unahisi una mawazo machache ingia huu mtandao Ubersuggest’s Free Keyword Tool, Generate More Suggestions then we weka tu "top ten footblall" utapata idea nyingi sana.

Ni vizuri sana kuweka picha ambazo hazina haki miliki, cha kufanya search picha kwa google the ingia sehemu ya stting chuja picha ziwe "free to use even commercially", ukizikosa hapo next optio tumia instagram na ukikosa huko tumia tu zile za google bila kuchuja, Youtube wataanza kuangalia video zako manually na kufanyia analysisi picha zako endapo utaanza kutengeneza zaidi ya dola 5,000 (zaidi ya milioni 10) kwa mwezi, so just use picha zozote but inapendeza zadidi zisiwe na copyright.

So once umepata picha tumia video editor yako pendwa, tayarisha picha zako, tia maneno kwenye picha, weka mziki ambao hauna haki miliki zipakue hapa Audio Library – No Copyright Music

Kitachofuata ni ku-upload , weka title nzuri inayovutia, weka maelezo ya video kwenye decription(napendelea kuweka maneno 200), weka tags zinazotrend zinazoendana na video yako the upload your video.

Sasa Iwapo kwa siku utapata views 10 tu kwa video moja 😉😉 basi ukizidisha kwa video300 ni views elfu tatu ndani ya siku moja na kwa hizo views unaweza kwa kima cha chini utaweza kupata dola 3 (6,600 tshs) na hapo kwa mwezi itakuwa ni dola 90 (198,000 tshs), Hizi ni hesabu za kima cha chini sana ila kwa kawaida kuna videos zinaweza zikapata views wengi na sometime watazamaji wanaweza kuwa wa marekani ambao huongeza thamani ya mapato yako na hivyo usishangae kupata zaidi ya hio dola 90, Kdri unavyosukuma mzigigo ndivyo mapato yanaongezeka ...kwa miezi tano tu ukifanya hii kitu unaweza ukawa unaingiza dola 450 kwa makadirio ya chini kuoita kiasi ambayo ni 1,005,367 tshs.

ACTION TAKERS CHUKUENI HATUA WAVIVU MTAISHIA KUSOMA TU HII THREAD😉😉
 
Ushauri tu kama una fb page ama una magroup ya fb au whatsapp itakusaidia sana

Japo mi channel yangu in changa lakini kwa siku nikiamua nipige kaza basi views kama 10000 kwa video 3 au 4 tayari

Ni simple tu cheza na idea za watu.
Fanya market research ya kitu ambacho unataka kuwa una upload video zako

Achana na views hara subscribe utapata wengi tu
 
Ushauri tu kama una fb page ama una magroup ya fb au whatsapp itakusaidia sana

Japo mi channel yangu in changa lakini kwa siku nikiamua nipige kaza basi views kama 10000 kwa video 3 au 4 tayari

Ni simple tu cheza na idea za watu.
Fanya market research ya kitu ambacho unataka kuwa una upload video zako

Achana na views hara subscribe utapata wengi tu
tumefanya makidirio ya kima cha chini kabisa bila kushare, mtu akishare hapa anaweza piga hadi dola 1,000 kwa video chache.
 
Hongera sana,trick nzuri hii, sasa kuna vidomo domo humu kazi yao ni kukosea kosoa tu maujanja ya watu, hongera sana
 
kweli mzee baba pesa ipo mingi...
earning.JPG
 

Attachments

  • earning.JPG
    earning.JPG
    11.5 KB · Views: 88
hapo umetumia njia ya kuupload videos kumi kwa siku au chache + sharing
hapana mkuu hii ni adsense ya kawaida ya ==>>(contents) i.e non hosted account ya website not youtube..
---note--
youtube iko safi pia ila inahitaji uwe na videos za kutosha na upige kazi sana.. youtube ni rahisi kwa watu maarufu.. ie ayo,diamond,kiba etc..
 
Back
Top Bottom