Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Na Mwandishi Wetu
Taarifa zilizotufikia sasa hivi zinaeleza kuwa, basi moja la abiria (daladala) ambalo namba zake hazikuweza kupatikana mara moja, limegonga treni na kwamba mtu mmoja (mwanaume) amefariki dunia.
Ajali hiyo imetokea eneo la Davis Corner, Tandika Yombo jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kufafanua kuwa watu 26 wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Temeke kwa matibabu!
niliwaambia juzi wakati nachangia hoja ya ajari ya dar - arusha iliyouwa watu zaidi ya 30 nikasema madereva wana upungufu wa akili - kama si hivyo basi ni uzembe wa kipumbafu.
Mi nasema hawa madereva wanaosababisha ajali wasipokufa basi wawe kundi moja na wauwaji wa kutumia silaha. Wafungwe maisha au miaka 30 na kazi ngumu.
Jamaa linapewa ishara lisimame, yeye akaamua kuchomekea trein kama alivyozoea kuchomekea magari siku zote- jamani vifo vingine vya kujitakia hivi.
Niliwaambia juzi wakati nachangia hoja ya ajari ya Dar - Arusha iliyouwa watu zaidi ya 30 nikasema madereva wana upungufu wa akili - kama si hivyo basi ni uzembe wa kipumbafu.
Mi nasema hawa madereva wanaosababisha ajali wasipokufa basi wawe kundi moja na wauwaji wa kutumia silaha. wafungwe maisha au miaka 30 na kazi ngumu.
Jamaa linapewa ishara lisimame, yeye akaamua kuchomekea trein kama alivyozoea kuchomekea magari siku zote- jamani vifo vingine vya kujitakia hivi.
ha ha ha we umeona kwanza daladala lenyewe hapo break itoke wapi?
Kumbe humu ndani kuna watu wasio na busara, gari likikatika brake dereva ana kosa gani, kuna mtu anapenda kupata ajari, ktk ajari hii, unaambiwa pale hakuna alama yoyote na wala hakuna mshika kibendera kuashilia trane, na kila wakati ajari za magari na trane utokea pale pale.Niliwaambia juzi wakati nachangia hoja ya ajari ya Dar - Arusha iliyouwa watu zaidi ya 30 nikasema madereva wana upungufu wa akili - kama si hivyo basi ni uzembe wa kipumbafu.
Mi nasema hawa madereva wanaosababisha ajali wasipokufa basi wawe kundi moja na wauwaji wa kutumia silaha. wafungwe maisha au miaka 30 na kazi ngumu.
Jamaa linapewa ishara lisimame, yeye akaamua kuchomekea trein kama alivyozoea kuchomekea magari siku zote- jamani vifo vingine vya kujitakia hivi.
Kumbe humu ndani kuna watu wasio na busara, gari likikatika brake dereva ana kosa gani, kuna mtu anapenda kupata ajari, ktk ajari hii, unaambiwa pale hakuna alama yoyote na wala hakuna mshika kibendera kuashilia trane, na kila wakati ajari za magari na trane utokea pale pale.
Hoja hapa ni hizi sheria zetu, haiwezekani mtu agonge trane, trane inapokuja bila kupiga honi na hakuna taa nyekundu kuashilia ujio wa trane, basi isomeke kuwa trane imegonga mtu, ila kama vyote hivyo vimefanyika iwe kinyume chake.
ha ha ha we umeona kwanza daladala lenyewe hapo break itoke wapi?
Naona wewe hujawahi hata kuendesha hata baiskeli, unapotaka kuvuka reli ni lazima uwe kwenye speed vingine uwe kwenye namba moja, bila hivyo gari linazimika, pia tumezoea kama kuna trane inakuja, ni lazima awepo mtu wa kuashilia hilo au taa nyekundu, kama vyote hivyo hakuna unalazimika kupita kasi, vinginevyo gari linazimika, ndio maana magari mengi ugongwa kwenye reli kwa sababu ya kupitisha magari yao slowly na hatimaye kuzimika,Hata kama hakuna alama yoyote lazima kama dereva uwe na caution, na kama kibao kinachokwambia eneo hili speed ni 60km/h hakipo wewe ukifika hapo unawenda tu speed 120km/h then unajiita dereva? na je yule dereva wa daladala hakujua kuwa pale kuna kivuko cha Reli?
usitete ujinga - ningekuelewa ungeniambia gari lilikuwa bovu sana kiasi kwamba system zake nyingi hazifanyi kazi na ilikuwa makosa hata kuwa barabarani na ndiyo chanzo cha ajali - brake zitoke wapi ukiangalia hizo picha?
Sheria za driving zinasema wazi kuendesha gari bovu pia ni kosa- tetea tena madereva wako.
Naona wewe hujawahi hata kuendesha hata baiskeli, unapotaka kuvuka reli ni lazima uwe kwenye speed vingine uwe kwenye namba moja, bila hivyo gari linazimika, pia tumezoea kama kuna trane inakuja, ni lazima awepo mtu wa kuashilia hilo au taa nyekundu, kama vyote hivyo hakuna unalazimika kupita kasi, vinginevyo gari linazimika, ndio maana magari mengi ugongwa kwenye reli kwa sababu ya kupitisha magari yao slowly na hatimaye kuzimika,
Hoja bado iko pale pale, TRL wana makosa na wao ndio wamegonga gari, sio gari limegonga trane, na mtoa hii thread yuko sahihi na heading yake maana ndivyo tukio lilivyotokea.