Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,689
119,326
Wanabodi,

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhmi ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 16 Januari, 2017 amefanya uteuzi wa Wabunge wawili wa Bunge la Jamhuii ya Muungano wa Tanzania na Balozi mmoja.

Wabunge walioteuliwa ni Alhaji Abdallah Majula Bulembo na Prof. Palamaganiba John Aidan Mwaluko Kabudi. Wabunge wateule hawa wataapishwa kwa taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Benedicto Martin Mashiba kuwa Balozi. Kituo cha kazi na tarehe ya kuapishwa kwa Balozi Mteule Benedicto Martin Mashiba itatangazwa baadaye.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,
IKULU
Dar es Salaam
16 Januari, 2017

6e6b614751483d8f55be746188b7379d.jpg
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.

Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.

NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.

Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.

Kwa upande wa uteuzi wa Bulembo, ni kukamilisha tuu taratibu za CCM kwa wenyeviti wa jumuiya zake zote za chama pía kuwa ni wabunge.

NB. Pia sio lazima kwa 100% uteuzi wa Prof. Kabudi ni ili kumpa uwaziri, inawezekana ni kumuingiza kwenye lile jengo kwenda kusaidia kile kichwa kianafunzi chake maana kiukweli kimepwaya katika tasnia ya mabishano ya kisheria ndani ya jengo haswa unapokutana na hoja kichaa za wale vichaa wa sheria, hivyo akashauriwa aingize kichwa kuongezea uzito kupunguza makali ya kupelekwa puta!.
Lets just wait and see!.
Paskali

Hii chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...
 
natabiri faru maghembe,mzee wa bumburi,mzee wa foreign affairs,mzee wa mipango ya trilion 29.5 sidhani kama watasalimika

bulembo anaondolewa soon jumuiya wa wazazi,anapozwa kwa ubunge (tunaimarisha ccm mpya)

"mayalla kwa kikwetu manayake njaaa mayalla oyeeeeee"
 
Wanabodi,

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili

Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.

Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.

NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.

Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.
Paskali
Hi chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...
Paskali, Mwakyembe ana mapungufu gani? Anaijua sheria ila anacheza ngoma ya CCM
Labda kama anataka kuingia bungeni kupambana na mahili wa sheria wa upinzani. Anaweza akawa academician mzuri but not performer mzuri ....................
 
Lengo la Uteuzi wa leo alikuwa ni Prof. Kabudi, sasa ili kumsindikiza kabudi Bungeni ikabidi atafutwe na kupatikana kwa huyu Bulembo ili wananchi wasitafakari kwa haraka the motive behind na mlengwa hasa, kwa hiyo Mlengwa hakuwa Bulembo bali Kabudi.

Nadhani Prof. Kabudi atakuwa waziri wa Nishati na madini ili apambane na mikataba ya akina IPTL, Symbion nk. au yawezekana Mh. Rais amenasa hujuma za mwakyembe hivyo anataka kumuondoa.
 
Wanabodi,

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili

Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.

Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.

NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.

Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.
Paskali
Hi chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...

Baaada ya wabunge wateule kuapishwa hiyo siku, kitakachofuatia soon kwenye magazeti kama vichwa vya habari itakuwa hiviii:-

1. Palamagamba Kabudi aula wizara ya sheria na katiba.

2. Faru Johari amuondoa profesa Ma-hoe...!

3. Faru Johari aondoka na ma-Hoe...!

4. Maliasili wapata waziri msomi profesa...!

5. Ngosha Amtemesha Ngese Profesa Ma-Hoe.....!

6. Profesa Palamagamba Kabudi apelekwa maliasili kumtafuta Faru Johari....!

7. Nk, Nk.....!
 
Kama namuona vile askofu Mokiwa akiwa amejiinamia.Ni juzi tu kamtaja Prof Kabuni kuwa ndiye anayechochea mgogoro pale Anglican.Kabudi alipoulizwa na mwandishi wa mwananchi alitoa jibu zuri kabisa kwamba yeye kama mshauri wa askofu mkuu "ushauri anaotoa unabaki kuwa siri"
 
Kwa mfumo wetu wa uongozi, serikali ni RAIS.

Ameshatoa picha ya yeye ni kiongozi wa namna gani.

Hata afanye mabadiliko ya namna gani hatuendi popote.

Style yake ya Uongozi haipendi wala kuruhusu wengine kutenda..

It's a one man show..
That being the case.. Let's watch.
 
Back
Top Bottom