Trekta ya Tanzania. Hongera JK

Umenikumbusha aliposema kwamba shule zote za msingi ziunganishwe kwenye mkongo wa taifa. Jk ni nouma brother Mbuzi Mzee.
 
Kama kungekuwa na maendeleo hii kitu sasa hivi isingekuwa inatumika kwa kilimo. Toka enzi za Nyerere mpaka leo hii. Tunajisifia tunasonga mbele tunakoenda wapi kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa asilimia kubwa?
 
Uchaguzi ujao mchagueni Slaa ili kila mkulima apewe tractor!
 
Shule ziunganishwe kwenye Mkongo wa taifa!???, mbau zangu mie, kweli huyu jamaa ni CHAGUWO la muungu
 
Uchaguzi ujao mchagueni Slaa ili kila mkulima apewe tractor!

Hoja si chama au mtu gani atashika dola...hoja hapa ni kwanini hatujikwamui toka tulipo. Kama wewe unaona ukombozi wako ni mtu wa chama fulani all the best. Mimi utanzania kwanza hayo mengine baadae sana.
 
Kama kungekuwa na maendeleo hii kitu sasa hivi isingekuwa inatumika kwa kilimo. Toka enzi za Nyerere mpaka leo hii. Tunajisifia tunasonga mbele tunakoenda wapi kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa asilimia kubwa?

Mkuu, Enzi za mwalimu mambo yalikua mazuri zaidi. Wakulima wengi walikua wanatumia Plau Pezi!
 
Umenikumbusha aliposema kwamba shule zote za msingi ziunganishwe kwenye mkongo wa taifa. Jk ni nouma brother Mbuzi Mzee.
bwahahahahahahahahahahahahahahaha aiseeeeeeeeeeeeeee huyu mtu ni kavunja rekodi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…