Trekta ya Tanzania. Hongera JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trekta ya Tanzania. Hongera JK

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Aug 30, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha aliposema kwamba shule zote za msingi ziunganishwe kwenye mkongo wa taifa. Jk ni nouma brother Mbuzi Mzee.
   
 3. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Maisha bora kwa kila Mtanzania!!
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kama kungekuwa na maendeleo hii kitu sasa hivi isingekuwa inatumika kwa kilimo. Toka enzi za Nyerere mpaka leo hii. Tunajisifia tunasonga mbele tunakoenda wapi kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa asilimia kubwa?
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Uchaguzi ujao mchagueni Slaa ili kila mkulima apewe tractor!
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Shule ziunganishwe kwenye Mkongo wa taifa!???, mbau zangu mie, kweli huyu jamaa ni CHAGUWO la muungu
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hoja si chama au mtu gani atashika dola...hoja hapa ni kwanini hatujikwamui toka tulipo. Kama wewe unaona ukombozi wako ni mtu wa chama fulani all the best. Mimi utanzania kwanza hayo mengine baadae sana.
   
 8. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Enzi za mwalimu mambo yalikua mazuri zaidi. Wakulima wengi walikua wanatumia Plau Pezi!
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bwahahahahahahahahahahahahahahaha aiseeeeeeeeeeeeeee huyu mtu ni kavunja rekodi......
   
 10. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kacheze dogoli
   
 11. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo trekta ni cheap laikini bado imechoka!
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ifikapo 2013 tatizo la maji litakua historia jijin dar
   
 13. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kwa kamba za JK anaweza asema "hanzeni kutumia hizi msimu wa mavuno ukikaribia nikumbushe kabla sijasafiri nitawapeni combine harvester kila mtu ya kwake".
   
Loading...