Nawashauri TRC wakamate fursa ya kusafirisha abiria kati ya dodoma na dsm. Toka serikali imehamia dodoma kumekuwa na upungufu mkubwa wa magari ya abiria hasa week end. Nashauri waanzishe safari rasmi mfano kuwe na tren kila ijumaa jioni na isimame morogoro pekee vilevile kila jumatatu alfajiri itoke dsm kwenda dodoma