Ndugu yangu soma btn the lines, wewe unazungumzia press briefings unazopata, watu wanachambua inside stuff.
so let me ask u a question::::
mkataba unasema kila kitu kitanunuliwa/leased only from Rites India @ a very high price????????
Rites India wametoa kiasi gani kwenye shareholding structure??
Govt of Tanzania wanaguarantee loans zote, uko hapo???
Unaweza while U are @ it, kunieleza tofauti ya hii issue ya Rites na wale wenzetu wa SAA kuimaliza ATC?? Si tuliambia kila kitu kitakuwa powa????
Nisaidie mkuu nibadili mawazo.
Hakuna habari ya ndani hata moja kwenye hii thread tazama reference zote hapo juu, utaona zinasemaje.
Kuhusu mkataba, kama unataka kuujuwa vizuri naomba wasiliana na katibu wa Bunge la Tanzania kwani Mzee Six alipokuwa akifunga Bunge alitangaza kuwa wameshaweka library ya Mikataba ya Serikali pale Bungeni Dodoma. Unaweza ukasaidiwa kuusoma ukauelewa ulivyo au unaweza kuwasiliana na mbunge wako akupatie. halafu ukishaupata uweke hapa tuuone, au kama unao tuwekee hapa tuuone, mimi na "read between the lines". Wewe unao read line by line tuonyeshe hizo line unazozisoma ziko wapi?
Hii ilikuwa part ya mkataba wa awali na haikuhitaji kuwa na tender nyingine. Na ilikuwa ni moja ya sababu za negotiations kuchukua muda mrefu sana. Na si hio tuu ya kuleta engines zilizokuwa refurbished, part ya mkataba ni pamoja na kurekebisha reli mbovu, kuleta mabehewa mengine, kubadilisha mfumo wakuliongoza shirika na kwa kifupi kuifanya iwe better kuliko ilivyo kuwa na kuna time limit ya hayo yote kufanyika, its to early kuwa judge rites kama wako on track au la, kwani hawa hii ya reli ni fani yao hata huko india si kama richmond.
Kuhusu kuleta engines na mabehewa ya zamani (refurbished), wamejieleza vizuri na kusema kuwa ya ama tuanze na haya na huduma zipatikane haraka iwekanavyo na tusijitie hasara ya kutengenezesha mabehewa mapya kwani reli yetu ni out of international standards, ya ama tungoje engines na mabehewa mapya ambayo yanachukua muda na ni ghali zaidi na itabidi yaweze kufanywa kwa kufata size ya reli yetu ambayo ni nyembamba na inabidi ipanuliwe. Ikisha panuliwa ina maana haya mabehewa aidha yafanyiwe modifications au yaletwe mapya yatayolingana na reli itayopanuliwa. Nafikiri itapopanuliwa ndio itakuwa vema kuwe na engines na mabehewa mapya.
Hapo ilikuwa ni kuchagua mkuki upi ukochome. Na I think technically wana hoja nzuri, financially cum economically sina uhakika lakini naona it makes sense, ukichukulia kuwa mabehewa mapya yatachukua time na itabidi u-ya-scrape utapopanua reli. Sijui nimeeleweka?
Remember bro, TRA was almost dead and besides it still is partially owned by Tanzanians and it still is in Tanzania.
Knowledge bro knowledge, where we failed they succeed. Simpo.
Dar es Salaam,
For your Information .
Rail-India acquires 51 per cent shares in the Corporation
which henceforth becomes Tanzania Railways Limited (TRL) with the Tanzania Government retaining the remaining 49 per cent shares.
RITES is obliged to carry out normal maintenance on the existing railway lines, and rehabilitate the communication networks as whole As part of the take-over deal, the World Banks International Finance Corporation (IFC) and the International Development Agency (IDA) were expected to make available to Tanzania US$44 million and $24.75 million respectively. The money is to be spent on acquisition of locomotives, coaches.
RITES will also refurbish 648km of railway line by laying heavier tracks, as well as repair and purchase or hire new locomotives, passenger cabins and freight wagons for its operations as appropriate.
Sasa wewe Leo mnasema kununua treni mpya ni ghali sijui track nyembamba whut heaL u taking about ????
This TRL Sucks us Like Kunguni mwisho wa siku tena serikali itashia kulipa HiLo deni, Naangalia mkataba naona kabisa wanatumia kipengele gani kutumaliza hapa "as well as repair..."!!! the truth iz The RITES unaowajua wewe sio hawa uliowakabidhi TRC yako, Misdirection Son... tik tak tik tak....
Hope u wont suprised when nikupandishia ukweli wa Mafisadi wako unaowatetea hapa, this guys knows Loope hole en they real take shaaat, tengeneza kampuni hewa just brifcase en tanzania will amini then BingO.. JF r here to prove them wronG.
Naona unapouona ukweli unapata kigugumizi.
TRL will operate the railway at own cost and pay concession fees to RAHCO (Reli Assets Holding Company Limited ) now Dar es Salaam tell me the thruth here whos pay whos ??
Dont Lie speak openly then tell who is investor there Tanzania gorv or Rites from India ?? your Friend Chenge Mramba na ngasongwa sijui waulize vizuri wakwambie nini kinafukuta pale na wamepiga kiasi gani.
Nakupa Six Month utaona kama hamjarudisha TRC mikononi mwetu tena .. kama mlivyofanya kwa ATC.