Jamani habari humu jukwaani?
Naulizia kuna tray niliziona mahali, ziko kama tray za mayai lakini zenyewe ni maalum kwa ajili ya kupandia mbegu za mboga mboga kama vile nyanya, hoho, vitunguu etc. Mbegu zinakua hapo na mice ikifikia umri wa kufanya transplanting basi unahamishia shambani kwako. Nimefuatilia faida zake kuliko mtu anayepanda mbegu kwenye kitalu akafu ndo aanze kung'oa kuhamisha shambani nikaona ni nzuri sana kutumia tray especially kwa mkulima mdogo anayeanzisha bustani. Unatumia maji kidogo na pia ni rahisi kuhudumia.
Pia kuna aina mbali mbali za hiyo tray, zingine ni nyepesi, na zingine ni ngumu kidogo. Zingine zina tundu pana na zingine matundu madogo madogo. Wapi zinapatikana kwa urahisi zaidi