Trap rapper wa kisukuma anakwambia dimaga lolo

abhoi bhagangh'waga ngh'omba, gubise dugangh'waga mabele..
abhoi bhagalyaga bhugali na matumbati gubise dugalyaga matembele..

kiswahili
kwao wanakunywa uji,kwetu tunakunywa maziwa
kwao wanakula ugali na tumbaku sie tunakula matembele

hahahah nice song tyga wa kingosha
 
Character kubwa ya wasukuma ni ushamba lakini hapa amejitahid sana kutouonesha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…