Trap Beat - City Hunter (S.G.B STUDIOS)

Unajitahidi, sema bado uko beginner levels.
Hizo drum kits unazipiga bila breaks.
Halafu hiyo sample ya leading melody iko high tuned sana. Kiasi kwamba channels zingine hazisikiki vema.

Ngoja mie nikudondoshee beat langu hapa chini. Usikie tofauti ya drum kits zangu na zako.
 
Ni demo tu ndugu yangu, hiyo yenye 'breaks' na kumixiwa down ipo. I just want you guys to feel the vibe kwanza.
 
Tunasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…