Is there a test account or do I have to do a complete registration?
Nadhani kuna tatizo . Mi ushauri wangu ni huu.
- Hizo infomation zinatakuwa kuwa kwenye public domain . Hakuna haja ya kuwataka watu wafanye registration . MAy be toa sababu kwa nini mtu afanye registration.?
- Pili nadhani UI ya web inahitaji marekebisho. Japo na mimi najifunza. Mfano kwenye fomu ya registration kuna matatizo haya
But again bado nasisitiza sioni kwa sababu gani mpaka mtu awe registered kuona hizo taarifa.
- Kipenngele cha 4 gett password umekiweka kwenye resgiration why?
- NImejaribu kuingiza registration nakuweka emal ggggggggg@gmail.com imekubali. So mwambie developer ajaribu kuekwa control fulani za ku verify a ku validate inputs.
ovyooooooo kwanini lazima tu log in and regista is it private au poblic service. Siyo mnaleta madoido hewa
Ahsante kwa maoni yako. Nimefurahi kuwa angalau umeingiza email ikakubali. Hilo ndilo lengo huna haja ya kuingiza email yako ya taarifa zako zingine za mawasiliano bali kwa ajili tu ya records zako mwenyewe kwenye database. Password unayoingilia nayo narudia ni kwa ajili ya kuaccess taarifa ambazo umegenerate kwenye database ambazo ni zako exclusively. Control na validation ya inputs itaondoa "public" access ya information.
Kipengele cha 4 najaribu kujibu tu tuendelee kujadiri. Hayo maelezo siyo "standard" yamekusudiwa kumsaidia mtumiaji mpya. Hizi database zinazotumia technologia ya devinfo ni za UN kwa ajili ya indicator based information dessemination. Zinatumika na commuty yote ya UN. Lengo kuu ni ili mtumiaji awe na access ya taarifa anayoitaka kuhusu utendaji kwenye sekta ya uchukuzi. Hilo lengo linatofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine angetaka kuona pesa zinazotengwa kwa maendeleo zimefanya nini? Mwingine angetaka kuona kwenye sub sekta fulani hali ya mambo ikoje.
Kikubwa zaidi ni tatizo la uelewa wa wananchi kuhusu umuhimu wa serikali kuwajibika na mafungu wanayopewa kutekeleza majukumu yao kwa kutumia takwimu sahihi. Kwa hiyo database hii inakusudiwa kutoa hiyo fursa.
Mimi nitakuuliza what is DEv info?????? So unatakuwa kuna page inayotoa summary hata kwa tusiojua tuelewe nini maana ya dev info. So weka some useful link and menu to support usability za site.hizi database zinazotumia technologia ya devinfo ni za UN kwa ajili ya indicator based information dessemination.
Duh mie kuingia na kuona unaomba my FULL name hii naona ni uspy wa serikali kutaka kujua nani ame access data zao
Kama mnataka watu wajue na ni public info na isaidie wananchi sionio umuhimu wa kuweka process ndefu kujiandikisha
Ungeomba e-mail na password tu ok afadhali ila mpaka FULL name hii duu na kahdalika
Nadhani pia wengi wanajua kutumia mtandao siku hizi habari umeweka story kubwa
Make it short ku access register e-mail na password na weka kidude cha kulogin au kuregister
Hakuna haja ya storiiiiiiiii ndefu kama hivyo weka kwenye HELP section mtu akishindwa ndio aje soma
Pia ukituambia nini haswa lengo la website hiyo in details n.k. Tutaweza kujaribu kuingia na kukushauri zaidi
Oya wee
Nadhani kuna tatizo . Mi ushauri wangu ni huu.
- Hizo infomation zinatakuwa kuwa kwenye public domain . Hakuna haja ya kuwataka watu wafanye registration . MAy be toa sababu kwa nini mtu afanye registration.?
- Pili nadhani UI ya web inahitaji marekebisho. Japo na mimi najifunza. Mfano kwenye fomu ya registration kuna matatizo haya
But again bado nasisitiza sioni kwa sababu gani mpaka mtu awe registered kuona hizo taarifa.
- Kipenngele cha 4 gett password umekiweka kwenye resgiration why?
- NImejaribu kuingiza registration nakuweka emal ggggggggg@gmail.com imekubali. So mwambie developer ajaribu kuekwa control fulani za ku verify a ku validate inputs.
NImejaribu kuingiza registration nakuweka emal ggggggggg@gmail.com imekubali. So mwambie developer ajaribu kuekwa control fulani za ku verify a ku validate inputs.
you are right man, kuna topic moja tumeongea sana khs professionalism ya software developers wa tz ukiangalia hii system ni public based hayo mambo ya registration yanatoka wapi?????
2. kama unataka watu wafanye registration main purpose itakuwa ni kwa wale wanaotaka kununua transport pass(note: siishi tz na huu ni mfano halisi niliouona)
3. learn something abt human factors---->u must 1st convince people abt ur service(know how difficult it is for someone to register online 4 unknown site)
4. naona human computer interaction principles nyingi zimekiukwa
5. security------> nimejaribu kutumia njia mwitu 5 zote nimefanikiwa kulogin as admin
Imekusudiwa hivyo kwa ajili tu ya accounts za kutunza generated information yako THAT IS ALLOWING THE PUBLIC WITHOUT DISCRIMINATION.
6. system is'nt user friendly as if u've entered wrong email address or password it returns "MSG_24" a good programmer must provide guidance for such errors (what is MSG_24 ???)
7. There's too much unnecessary info abt reg process
8. sorry wakuu 4 mistyping errors as u all know leo ni weekend am feeling sorry to hear that this system is 90% complete
Iaonesha wazo lako ni zuri ingawa bado cjaelewa vizuri kuhusu hiyo kitu DevInfo!.
Tukirudi kwenye website yenyewe,User interface design is not cool,it's like a newbie web designer and that's his first project. Poor content accessibility & architecture. Notes nyingi za namna ya kuji-register ambazo c za lazima,almost everyone knows online registration procedures,only stepwise registration form is enough for those who need to do so,and the space for registration notes could have been taken by another content.
Inshort the website is incomplete & not attractive at all & you may not get what you need! Labda uweke wazi kuwa unaomba watu wakusaidie namna ya kutengeneza website nzuri ambayo ina kiwango(good design & graphics,content accessibility,ect). Then baadae uombe watu wajaribu kuji-register ili upate maoni yao na hatimaye kujua kama users wanapata kile unachotarajia wapate. Also try to make some content to be public...!
Hiyo ni valid email address, kwanini unataka isikubalike?