Transformer

NileSat

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
340
Reaction score
182
transformer primary winding ina induce vp secondary winding hali ya kuwa both zote zimeweka insulation Najiuliza hizi magnetic flux zinafikaje kwenye secondary winding na kutoa output wether step up or step down depends na need zako ....swala lingine kwanini Dc current haifanyi kazi kwenye transformer
 
Ufanyaji kazi wa transformer una theory ndefu kidogo ila kwa kifupi ni hivi

1. Magnetic flux zinatoka upande mmoja wa winding kwenda upande wa pili kwa kupitia iron core,na haziruki katika hewa kurukia upande wa pili.na plastic insulator haina uwezo wa kuzuia magnetic flux kuwa induced katika coil.



Na kuhusu insulation ni kwamba plastic insulator haina uwezo wa kuzuia magnetic flux kuwa induced katika coil.Mfano chukua sumaku ya kawaida na chuma harafu chuma kile kivalishe insulation tape jaribu uone kama sumaku itakivuta chuma hicho au la .jibu utakalo lipata ndio lio litajibu swali lako la kwa nn magnetic flux zinapita katika insulation.

2.DC ni umeme ambao ni direct current yaani umeme mnyoofu wakati AC ni alternating current yaani umeme megeuko.

Magnetic flux zinaweza kutengenezwa katika iron core kama current inayopita katika coil ni ya mgeuko ambayo ina ingia na kutoka yaani inaenda katika mfumo wa 1 to 0 (ON and OFF)in a certain frequencies mfano umeme wa majumbani una frequency ya 50Hz hadi 60Hz(kwa jina jingine umeme huu unaitwa umeme mruko).

Umeme wa DC current yake inaenda katika style ya 1 na siyo 1 to zero hivyo unashindwa kuzalishwa frequency ndiyo maana pia unashindwa kuzalisha magnetic flux.(hivyo ili umeme wa DC upite katika transformer huhitaji kuingizwa katika vifaa vya kielectronics kama vile Inverter ili ubadilishwe aina yake ya mawimbi ndipo uingizwe katika transformer.

If not enough just go deep HERE
 
Inafika by induction. Kwenye DC current hakuna alternative current. Ndio maan kupunguza DC current tunatumia resistor...
 


kwanini dc haifanyi kwenye transformer?
kwa sababu dc ni umeme mnyoofu yaani.hauna frequency. hivyo basi kama ni mnyoofu hautasababisha change in magnetic fields katika coil. frequency ( ON/OFF/ON/OFF.... ) ndiyo inayo induce current.
 

Nashukuru na hili swala la magnetic flux kuwa zinapita kwenye insulation hapo nimepata somo nashukuru ila hapo pa current kuwa induced via iron core hapana ..current inayokuwa induced kwenye iron core tunaitambua kama Eddy current loss ambayo kama ikiwa kubwa basi inapunguza ufanisi wa transformer kwa transformer kupata heat kwa sababu iron core zina resistance.
 
kwanini dc haifanyi kwenye transformer?
kwa sababu dc ni umeme mnyoofu yaani.hauna frequency. hivyo basi kama ni mnyoofu hautasababisha change in magnetic fields katika coil. frequency ( ON/OFF/ON/OFF.... ) ndiyo inayo induce current.

Poa kiongozi nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…