computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 509
- 544
ok thanks...... so what is the altenative of getting the cash from paypal while residing in tz....ukiachilia payooneerhyo globelmoney.com siwez kusema ni SCAM japo imekaa kama scam site Ila mwenye hiyo site alitangaza kukuza biashara kwa kufungua bank kabisa so nadhani wanaweza kukufanyia transfer japo watu wengi reviews zao ni kuwa wameibiwa
sijakupata mkuu..........umeoongea kiprofessional zaidi.....am normal guy behind the keyboardHint: any transfer from PayPal to Western Union should involve only the two
dah......hiyo iko very risky kama mtu humjui ina maana hela anaweza akasepa nazo........payoneer huwez coz walishasitisha kwasasa Tz ni ngumu ata mm siwez huwa nawatumia watu waliopo nchi zinazokubali
so far hakuna online market za kibongo mkuu,zilizopo zote ni advertisement stores,mtu anatangaza biashara yake then mnatafutana na kumalizana juu kwa juu,website husika inakua haiusiki na mapatano yenu.Labda nyie mnaofanya hiyo biashara muamue kulipana kwa PayPalHellow there nataka kujua ni duka gani la online hapa bongo ambalo unaweza kununua vitu halafu hela wakakata kwenye paypal account.
Thanks in advance
ok thanks.........tatizo ni nini hakuna watumiaji wa paypal?au watumiaji wa internet ni wachache tz?so far hakuna online market za kibongo mkuu,zilizopo zote ni advertisement stores,mtu anatangaza biashara yake then mnatafutana na kumalizana juu kwa juu,website husika inakua haiusiki na mapatano yenu.Labda nyie mnaofanya hiyo biashara muamue kulipana kwa PayPal
otherwise sijaelewa swali lako.
Angalia mitandao ya PayPal na WU. Kama hawatoi hiyo kitu toka katika mitandao yao basi hiyo kitu haipo!sijakupata mkuu..........umeoongea kiprofessional zaidi.....am normal guy behind the keyboard
Hellow there,
After struglling many times on the ways of transferring money from paypal to western union then i found this Western Union - PayPal To
But i still in doubt since the site doesnt use secured protocols ie htpps.......ambaye ashawahi kutumia hii service naomba atupe testmonials......pia naomba wataalam wa it security muianalyse hiyo site if it is a scam or not......thanks in advance
Tafuta Uraia wa Kenya au marafiki Kenya itakuwia rahisi kupiga hilo dili!Hellow there,
After struglling many times on the ways of transferring money from paypal to western union then i found this Western Union - PayPal To
But i still in doubt since the site doesnt use secured protocols ie htpps.......ambaye ashawahi kutumia hii service naomba atupe testmonials......pia naomba wataalam wa it security muianalyse hiyo site if it is a scam or not......thanks in advance
Mh sidhani kama atapata. Wengi wanatafuta kufanya kama yeye. Labda auze half price i.e. Dollar Hamsini elfu hamsini 😉mi ningekushauri utafute wadau hapa bongo unawauzia PayPal yako in cash. for example unanihamishia dollar hamsini nakupa laki na kumi
Umwambie lakini Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili so itabidi aukane uraia wake kwa vipande kadhaa vya PayPal 🙂Tafuta Uraia wa Kenya au marafiki Kenya itakuwia rahisi kupiga hilo dili!
YAH NIPO KWENYE PROCESS ZA KUHAMIA KENYA..........Umwambie lakini Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili so itabidi aukane uraia wake kwa vipande kadhaa vya PayPal 🙂
KWANI KUFUNGUA ACCOUNT KENYA LAZIMA UWE RAIA WA KENYA .......SI UNAWZA FUNGUA HATA KAMA UNATOKEA TANZANIA?Tafuta Uraia wa Kenya au marafiki Kenya itakuwia rahisi kupiga hilo dili!
kwenye PayPal unajaza uraia wako sio umetembelea wapiKWANI KUFUNGUA ACCOUNT KENYA LAZIMA UWE RAIA WA KENYA .......SI UNAWZA FUNGUA HATA KAMA UNATOKEA TANZANIA?