Transfer

MISAPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
68
Reaction score
34
Habari!
Nimejaribu kufuatilia post nyingi humu za kuhusu transfer ya chuo lakini bado sijapa ufahamu mzuri kwa mtu aliyechaguliwa kupitia nacte.Maana kama sijakosea kwa wenzetu wa tcu wana hiyo option kwenye profile zao.
Ombi langu kwa mtu yeyote anayefanya au alishafanya naomba anifahamishe process za kufanya ili nifanikishe.
Natanguliza shukrani zangu asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…