Transfer ya chuo

So nw tusubir tu til tcu watakapo amua kufungua cas afu tujaze fomu zao???
 
So nw tusubir tu til tcu watakapo amua kufungua cas afu tujaze fomu zao???
 
JAMANI HIZO TRANSFER LABDA TUMTUME HAPA KAZI TUU AENDE HUKO TCU MAANA NIMESHASHTUKIA MCHEZO WAO HAWA JAMAAA. Utalipa iyo 30 utafanya transfer lakini kupata ni ndotoooo. Mfano nimeenda chuo kimoja wanasema hakuna nafasi za kuhamia MD. Ila tungoje CAS ikifunguka utaona nafas kadhaaa cijui watatuambia "HAPA KAZI TU" 30 utalipa na nafasi hutopata.
 

Hahahaha mm mwenyew nishaunusa huu mchezo mchafu wa kula 30 za watu
 

chuo gan hicho kaka ili nisiende maana nimehaha balaa...had kairuk kimejaa
 
naomba kujua kama unahitaji kwenda chuo kama MZUMBE na unawakika nafasi bado zipo ila katika selection hukuweka kwa sababu hakipo tena hicho chuo, na ukachaguliwa chuo kama SAUT . je naweza kutumia utaratibu gani kubadilisha ??????
 
Kwanza kozi gani ambazo unajua zipo na nafasi MZUMBE kwa sasa?
 
Kwanza kozi gani ambazo unajua zipo na nafasi MZUMBE kwa sasa? Huwezi kupata MZUMBE, usipoteze muda.
 
Hapana ndugu,yaani Ni hivi: mwisho wa kuomba transfer Ni tar 02/12/2012,,,CAS ikishafunguka watu wataomba transfer Na ukishaomba utakuwa Si peke yako ulioomba kwa siku mtakuwa wengi.kwahiyo watakachofanya Ni kwamba utapewa majibu yako ya kuwa umechaguliwa Chuo gani kupitia PROFILE yako ya TCU Na haita gharimu zaidi ya siku tano,kwahiyo kuwahi kwako ndio majibu yako yatawahi. Hivyo usishangae wewe umepata majibu yako ya transfer wakati huohuo wengine wanaomba.
 
Msaada mimi nimeomba Transfer kutoka Udsm kwenda st Joseph .wakati kule udsm nilipata mpaka mkopo shida wakatu reject tukaambiwa tuchague tena vp mkopo wangu utaongezeka
 

Jaman mm nimeshafanya transfer na coz niyoiweka ilikuwa imebak na slot moja tu na nikaiwahi..hiv hapo nitakuwa na uhakika wa kupata iyo chance na vip kuhusu majibu yao wanayatoaje?
 
Hakuna kusubiri ukichaingiza no ya mpesa unapata majibu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…