mimi meelik
Member
- Oct 8, 2015
- 14
- 0
wadau nilikua nauliza kua kwa mwaka huu amna transfer ya chuo kmoja kwenda kingine au n vip???? Mana nmesubr mpk daaah sheeda aaan stl nthng til nw..so nilikua nauliza tu kuna mweny info zozote tusaidiane...
yaani hata Mimi nimesubiri Sana lakini nilichofanya Ni kwamba nimekwenda Chuo ninachotaka kuhamia,Na uzuri Chuo hicho huwa wanawasiliana Na TCU Na kuwaomba kuwa Kuna wanafunzi kadhaa namba zao Fulani,wamechaguliwa Chuo Fulani,kozi Fulani,ufaulu Wao Fulani,Na wanataka kuhamia Chuo hiki chetu.kisha wanasubiri TCU wajibu
mimi pia nataka nifanye transfer lkn naambiwa mpk nacte watoe ruhusa alafu chuo nilichochaguliwa kinaanza masomo jumatatu...na ninachotaka kwnd kinaanza trh 16 niko njiapanda nisije nikakosa registration hata kwny hicho nilichochaguliwa
tjitaid tuwafate
Kikubwa we nenda Tu Chuo unachotaka kuhamia,Na wanakupa barua ya nafasi unayotaka kuhamia,wakikupa barua Kama utaweza wapandie TCU kulekule Dar ukiwa Na hiyo barua ya Chuo.Si unajua tena Tanzania bila kukaziana sura huwezi kufanikiwa.
yaani hata Mimi nimesubiri Sana lakini nilichofanya Ni kwamba nimekwenda Chuo ninachotaka kuhamia,Na uzuri Chuo hicho huwa wanawasiliana Na TCU Na kuwaomba kuwa Kuna wanafunzi kadhaa namba zao Fulani,wamechaguliwa Chuo Fulani,kozi Fulani,ufaulu Wao Fulani,Na wanataka kuhamia Chuo hiki chetu.kisha wanasubiri TCU wajibu
Jamani mi nimeshfanya regstrn chuo nlichopangiwa je ctaruhusiwa kuhama tena? nisaidieni tafadhali.
tcu wameisha toa utaratibu wa transfer tembelea www.tcu.go.tz kwa maelezo zaidi
duh mwana mi npo bugando ila nlipenda dom.
TCU wameshato utaratibu wakufanya transfer kwa wale wa form six, na deadline ni tarehe 02-12-2015. tembelea tcu.go.tz kwa info zaidi.
Tatizo nnaloliona sasa ni kuwa CAS haifunguki!!!!
ndugu naomba nisaidie kwaiyo baada ya iyo tarehe mbili ndio wataanza kutoa majibu ya transfer